Ziko wapi??...
Tembeleeni tovuti ya wizara ya elimu mara kwa mara
hivi ujui kama april mosi ni april fool? Siku ya wajinga? Take it from me kama ulikua umejisahahulisha
Ur not serously!Tembeleeni tovuti ya wizara ya elimu mara kwa mara
nyie walimu mbona mna matatizo hivi?
mbona mwalimu mzima unatoa thread yenye heading tofauti? hivi unawaza nini?
au ndo kuvutia wasomaji? aisee mbadilike nyie walimu wapya!
kama kuajiriwa, mtaajiriwa! au kama serikali ikigoma kuwaajiri, hilo pia linawezekana!
so acheni kututia presha bana...
hii ndo tz yetu ukickia viongoz mizigo ni hapa tu kwingne wanaiga!.Jaman hata huyu mama tayar kashaanza kupoteza dira?angeulizwa kirefu cha BRN angechemka.Majembe mcfe moyo kaz ni nying za kufanya mctegemee ajira!
Mh! Nawe unasubiri kufundisha watoto wetu???Ur not serously!
Nikesho tar:20/ 02 /2014.
Baada ya hapo nafata Transcript yangu chuo na kuanza safari ya kuelekea Botswana ili niiache nchi yangu ifanye siasa kwanza.
Ur not serously!