Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Inasikitisha kuona serikali inashindwa kuwa na mipango ya muda mrefu na mfupi kisha kuweka vipau mbele kisha kupanga matumiz ya fedha. Ila serikali ni kigeugeu sana hebu tuangalie namna ya kufanya huku mtaani hawa hawashindwi kuja na jengne la kuumiza moyo zaidi msiogope hata privete maana iko siku mishara haitatoka je tutaishije...tafakari chukua hatua
 
jamani hata wakitoa lazma 2015 tuwafirie, hizo tani ngap za pembe za ndov wanazokamatakamata c wauze hzo hzo zisaidie kwan huwa wanapeleka wapi! Alafu bungen huwa wanasema wanakopesheka wakakope sasa
 
walimu tutaishi kwa matumaini mpaka lini serikali wazi na sikivu mpaka uilazimishe kutekeleza majukumu yake niko dissappointed sana na viongoz wachumia matumbo
 
kama kweli huyo mama alitoa kauli hiyo, basi hana tofauti na mzee wa muungano... na aminini nawaambia 2shazoea kusikia viongoz wengi sana wa ccm wakiongea wasichokijua mbele ya umma, hawezi sema bajet imepelekwa BRN kabla ya kuajiri walimu kwanza, nahisi angeulizwa hata maana ya BRN ange2peleka kulekule kwa kisiwa cha ZIMBABWE so realbest, a father, sam love na wengine kibao msiloose hope had 20 this month mambo yatakuwa bien!
 
mpigieni mukoba mmuulize pengine naye anaweza leta lolngolongo zake 0754516612
 
kama kweli huyo mama alitoa kauli hiyo, basi hana tofauti na mzee wa muungano... na aminini nawaambia 2shazoea kusikia viongoz wengi sana wa ccm wakiongea wasichokijua mbele ya umma, hawezi sema bajet imepelekwa BRN kabla ya kuajiri walimu kwanza, nahisi angeulizwa hata maana ya BRN ange2peleka kulekule kwa kisiwa cha ZIMBABWE so realbest, a father, sam love na wengine kibao msiloose hope had 20 this month mambo yatakuwa bien!

Ndg yang kisaikolojia cpo poa yaan,
 
Realbest wasikupe presha ajira znatoka hta mwez wa tat katkat haufk wala usijali,wanaojifaragua hpa n porojo t kama akina Makuku Rey na baba ake mdogo.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu walimu watarajiwa wenzangu pamoja na hamu kubwa ya kusubiria ajira hatuna budi kuwa wapole kwan serikali yetu haina uchungu na wanainchi wake ndio maana kila mtu aliyoko wizaran anatamka anavyotaka kuwa ongopea watu wake kwa kuwa aliyeshiba hamjui mwenye njaaa .
Na tatizo kubwa ni kutenga bajeti hewa kwa wizara zake. pia kutokana na kukabiliwa na majukumu ambayo hayakuwepo kwenye mipango ndio maana wanashindwa kutimiza lengo lillilopo na kuangalia lile la haraka kwa muda huo na letu kuliweka kipolo kwakuwa hakuna athari yoyote kwa serikali
kwa sasa kutucheleweshea ajira zetu. Na ili tatizo hili litoweke kunatakiwa kuwe na kiongozi shupavu atakaye safisha uongozi kuanzia chin had juu bila woga wala huruma kwa kuhakikisha ukusanyaji wa mapato na utumiaji wa mapato unaenda kama unavyostahili. pia mfumo wa serikali ni mbovu ila km rasimu hii ikipita na tukampata kiongozi shupavu had ifikapo 2016 mambo yatakaa sawa tu.
 
Aliekuwa na uwezo na kiburi cha kusafisha uongozi kuanzia chini mpaka juu ni Lowasa peke yake, ila waliamua kumuua kupitia udhaifu wake wa kupenda pesa.
 
Jamani tujiajiri kutegemea sana kuajiriwa si issue afu Rais aliomba walimu wa kujitolea Jamaica ivyo msitegemee kufanikisha mipango yenu kwa kusubiri ajira chakarikeni
 
Mh.Katibu mkuu TAMISEMI,tunaomba utuambie kinagaubaga kuhusu ajira za walimu maana hali si nzuri mtaani,tunakutegemeasana mh.
 
Hayo Maswala Ya Rasim Ya Katiba Cjui, Hatutaki Kuyackia Shv! Kinachomata Ajira Kwanza Mengine Yatafuata
 
Back
Top Bottom