Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Hatimae mh. Jenista Mhagama anena kuhusu ajira za walimu wapya

Kelele, hasira, lawama nk. Hazina msaada. Tulieni. Bado nasisitiza niece wangu kulihusu hilo swala lenu. Anachodai ni kuwa, mwezi wa nne yatatangazwa halafu mwezi wa 7 mwende vituoni.
 
Nchi hii kuendelea ni shida,kuna kazi gan kwa kiongozi kujitokeza na kutoa tamko rasmi hadi watu wapige kelele?
 
Vuteni subira ndugu Walimu bado mh. Mulugo hajapata maslahi yake hvyo amegang'ania flash yenye majina akipata maslahi yake atawapatia then watatangaza tu. inauma ila hakuna lakufanya.
 
Nimetoka kuongea na ndugu yangu aliyeko wizarani.ukweli ni kwamba post zipo tayari ila serikali haina hela.it's pain
 
we kazi yako nikuhesabu posts za watu kwani? Sio njaa bali ni haki yangu kwani ndicho nilichosomea!
 
so kama hamna hela ajira ni hadi hela ipatikane hata kama ni mwezi wa 10?
Yet more my pain
 
Jamani wanajanvi huwa nasikia serikali yetu sikivu ikilalama kila mara kwamba kuna uhaba wa walimu shuleni. Kuanzia s/msingi sekondari na hata wahadhiri. Mbona kunawalimu wako mtaani tangu mwezi wa sita mwaka jana hawajaajiriwa? Mbona hata wale wa masomo ya sayansi hawajaajiriwa hadi sasa? Mbaya zaidi wanafunzi wanataabika kwa uhaba wa walimu wakati mtaani wapo sasa hii tuiteje? Au hadi waunde tume ichunguze kwa nini walimu hawaja ajiriwa?mbona waziri mwenye dhamana hajaja kwenye vyombo vya habari akasema tatizo ni nini na wataajiriwa lini?
 
hahahaha! jamani ajira zenu zpo! ni suala la muda tu! ndani ya wiki kuanzia j3 ztakuwa hewani!
 
Hela!! Hela!! Wallah mwakani lazima nikapige kura mara 2!!
 
watakusikia?? Wapo dodoma waanadai kuongezewa posho!! Shame on them!!!!!
 
ninavyoomba mimi serikali itoe tamko tujue tunafanya nini na sio kutufanya kama vifaranga vya kuku kila siku nyonyo kesho!!!! itoe tamko watu wafanye ishu zingine!!!!
 
Hivi huwa wanasali dini gani jamani hawa watu? MBONA wanayofanya ni mabaya hadi shetani anaogopa? Jamani waoneeni huruma hawa walimu muwape ajira zao!
 
Nimetoka kuongea na ndugu
yangu aliyeko wizarani.ukweli ni kwamba post zipo tayari ila serikali
haina hela.it's pain

sina hamu kabisa na hii serikali yetu. kila kitu kinaendeshwa kisiasa mpaka vitu muhimu ni siasa tu. beautiful country some people already destroy.
 
Back
Top Bottom