Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

Hatimae Misri imetajwa rasmi kama mshirika anayepigana upande wa Israel dhidi ya Gaza

Misri alishapigwa na Israel alikua na jamaa zake wote wakala kichapo
 
Misri alishapigwa na Israel alikua na jamaa zake wote wakala kichapo
Uongozi wa sasa sio kama ule wa Gamal Abdul Nasri.Angekuwa yule isingifikia hali hii.
 
Vita kamili ni vipi hapo.
Watu wanatumia meli za Kivita na ndege za kivita za 5g na wewe unaona bado sio vita kamili
Haha babu hapo wanagusa tuu badooo kabisa vita haijaanza vita ikianza utaona mito na maziwa yakijaa damu..
 
Haha babu hapo wanagusa tuu badooo kabisa vita haijaanza vita ikianza utaona mito na maziwa yakijaa damu..
Hatuombi ifikie huko kwani wamarekani mambo ya mito ya damu hawahimili kabisa.
 
Vita kamili ni vipi hapo.
Watu wanatumia meli za Kivita na ndege za kivita za 5g na wewe unaona bado sio vita kamili
Haha babu hapo wanagusa tuu badooo kabisa vita haijaanza vita ikianza utaona mito na maziwa yakijaa damu
Hatuombi ifikie huko kwani wamarekani mambo ya mito ya damu hawahimili kabisa.
Babu wanataka sana huu mwaka myahudi na mmarekani anatakaa damu ya gaidi imwagike kila mahali
 
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.

AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.

Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
Bora
 
Hatuombi ifikie huko kwani wamarekani mambo ya mito ya damu hawahimili kabisa.
Wewe Mmatumbi huombi ila myahudi na mmarekani raha yao kuona damu za magaidi zikimwagika kwenye mito, maziwa na baharini
 
Mchambuzi Mnafiki katika ubora wake. Misri kashashahuri aungi mkono vita na Israel. Kesho atasema saudia naye anapigana vita dhidi ya gaza.
Binafsi pale Middle East taifa ninalo liamini kama liko na Wapalestina ni Iran. Hawa wengine wote wana mashirikiano na US kitu ambacho ni rahisI sana Israel kupiTIsha agenda zao.
 
Al Sisi anajitambua hawezi kamwe kuwa upande wa magaidi wa Hamas na washirika wao wa Iran
Lakini soon Israel anaenda kukata kichwa cha nyoka (Iran) ili kuleta amani ya kudumu hapo Mashariki ya KATI
Mkatwa Sasa mitaani kwake akisema hihiiiii mwanngu njoo unywe uji
 

Attachments

  • IMG_20250505_103054_045.jpg
    IMG_20250505_103054_045.jpg
    243.6 KB · Views: 16
Binafsi pale Middle East taifa ninalo liamini kama liko na Wapalestina ni Iran. Hawa wengine wote wana mashirikiano na US kitu ambacho ni rahisI sana Israel kupiTIsha agenda zao.
Na Iran anafanya kwa ajili ya usalama wake si kuwa na wapalestina bega kwa bega. Kwanini asiende kupeleka jeshi pale gaza akapigane kuliko anavyofanya kutumia vikundi anavyovianzisha?. Mbona korea kaskazin kapeleka jeshi Ukraine kusaidia Russia. Kwanini Iran asifanye hivyo kwa Palestina?. Alirusha makombola Israel akajibu tokea wakati huo Iran kaona ni Bora aendelee na vikundi vyake kuliko kuwa mbele.
 
Misri anajua akikaa karibu na magaidi hatakuwa salama. Anajifunza kwa Yemen na Lebanon.
Misri ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Qatar inasapoti Gaza ila ni nchi iliyoendelea mara elfu zaidi ya Misri.
 
Ukiona pale Cairo palivyotulia huridhiki kabisa? Shida nini mkuu?
Mchambuzi mashuhuri wa masuala ya mashariki ya kati,Mohammed Al masry ameseweka wazi kuwa Misri ndiye mshirika mkubwa wa Israel na Marekani kufanikisha maumivu wanayoyapata wananchi wa Palestina eneo la Gaza.

AlMasry katika mahojiano yake na aljazeera ,amesema ukweli huo ni jambo ambalo kwa muda mrefu watu wamekuwa wakisita kulitaja ilhali Misri imekuwa ikifanya hivyo sio miaka hii miwili tu bali kwa kipindi cha miongo miwili mizima iliyopita.

Katika ufanunuzi wake Almasry ameweka wazi kuwa Misri imekuwa ikifanikisha malengo ya mataifa hayo kwa kuutumia ukaribu wake na watu wa Gaza na kwa kutumia mpaka wa Rafah unaounganisha Misri na eneo hilo la wapalestina.
 

Kwanini Misri analazimika kuwa Kibaraka wa USA:​

🔴 1. Maslahi ya Usalama wa Kitaifa​

  • Hamas ni tawi la kundi la Muslim Brotherhood ambalo Misri inalichukulia kama tishio la kigaidi. Misri imekuwa ikipambana na ugaidi katika eneo la Sinai kwa miaka mingi.
  • Uwepo wa Hamas mpakani mwa Gaza unaibua hofu kuwa silaha na itikadi kali zinaweza kuingia Misri na kusababisha machafuko ya ndani.

🟠 2. Mahusiano na Marekani​

Misri hupokea msaada wa kijeshi wa zaidi ya dola bilioni 1.3 kila mwaka kutoka Marekani. Kupinga vikali msimamo wa Marekani kuhusu Israel kunaweza kuhatarisha msaada huo.
  • Marekani huiona Misri kama mshirika Mwarabu mwenye ushawishi wa kidiplomasia, hivyo Misri hujihadhari sana kuchukua msimamo mkali dhidi ya Israel.

🟡 3. Mkataba wa Amani na Israel​

  • Tangu Misri na Israel zilisaini mkataba wa amani mwaka 1979, zimekuwa na ushirikiano wa kiusalama, hasa kuhusu mpaka wa Gaza-Sinai.
  • Kuvunja uhusiano huu kunaweza kusababisha migogoro ya kijeshi, kushuka kwa ushirikiano wa kiuchumi, na kutengwa kikanda.

🟢 4. Shinikizo la Kiuchumi​

  • Misri inakabiliwa na mgogoro mkubwa wa kiuchumi (mfumuko wa bei, kushuka kwa thamani ya sarafu, na madeni makubwa). Inategemea misaada kutoka nchi za Magharibi na Ghuba.
  • Kukaa karibu sana na wanamgambo wa Palestina kunaweza kuharibu uhusiano wa kiuchumi na wahisani, hasa Marekani na Umoja wa Ulaya.
  • Pia, kuna miradi ya pamoja ya nishati ya gesi asilia kati ya Misri na Israel inayoinufaisha Misri kiuchumi.

🔵 5. Hofu ya Wakimbizi kutoka Gaza​

  • Misri haiungi mkono mpango wowote wa Israel wa kuwahamisha Wapalestina wa Gaza kuingia Sinai, kwani hiyo italeta changamoto za kibinadamu na kiusalama.
  • Kwa hiyo, Misri inapinga Hamas na pia inapinga vita vikubwa vya Israel, ikitaka Gaza iwe na utulivu bila tishio kwa usalama wake.

🟣 Jukumu la Kidiplomasia​

  • Misri inajitahidi kuwa mpatanishi wa kikanda, ikihudhuria mazungumzo ya amani na juhudi za upatanishi.
  • Ingawa hadharani huunga mkono Wapalestina, kwa faragha hushirikiana na Israel na nchi za Magharibi kulinda maslahi yake.
 
Misri inakataa kuwanzishwa kundi la kupigana na Israel katika ardhi yake na Iran Kama ilivyofanya lebanoni. Plani ya Iran ni kuanzisha makundi kwa kila taifa lililo karibu na Israel. Misri ataki huo Upumbavu lazima aonekane ni adui. Sasa hapo anapiganaje na gaza?. Mchambuzi ni mpumbavu tu
Misri sio kwamba hataki, anatii mabosi wake waliomueka madarakani asijaribu vita dhidi ya Israel labda dhidi ya ndugu zake waarabu ndio Israel na US watafurahi
 
Sasa unafiki wa Egypt uko wapi wakati Qatar nae anasapoti Gaza ?
Westerners wote hata mwenzao awe amekosea huwa ni watu wa kuungana mikono na kupigana pamoja.
Anachofanya Misri hakuna taifa la kizungu lingeweza kufanya hivyo kwa mzungu mwenzake.
Nadhani hapo utakua umenipata nakusudia nini.
 
Nilipoona chanzo ni Aljazeera tu nikajua propaganda za Qatar zimeanza baada ya kustukiwa na Israel kule hawataki haa awe msuluhishi pona yao Netayahu kagoma kusign mswada wa Kuiweka Qatar kama Sponsor wa magaidi duniani, Taleban ni Qatar,Hamas ni Qatar,Islamic Jihad ni Qatar,Al qaeda ni Taleban,TH Wa Syria ni Qatar vyuo vya marekani ni Qatar Sudan ni Qatar pesa zao wanazitumia vibaya sana
 
Na Iran anafanya kwa ajili ya usalama wake si kuwa na wapalestina bega kwa bega. Kwanini asiende kupeleka jeshi pale gaza akapigane kuliko anavyofanya kutumia vikundi anavyovianzisha?. Mbona korea kaskazin kapeleka jeshi Ukraine kusaidia Russia. Kwanini Iran asifanye hivyo kwa Palestina?. Alirusha makombola Israel akajibu tokea wakati huo Iran kaona ni Bora aendelee na vikundi vyake kuliko kuwa mbele.
Iran hapakan na israel wala gaza atapelekaje vikosi vitashukia wapi na usalama wake utakuwaje hebu fikiria kabla ya kuandika
 
Iran hapakan na israel wala gaza atapelekaje vikosi vitashukia wapi na usalama wake utakuwaje hebu fikiria kabla ya kuandika
Hizbullah anawafadhili ipo nchi gani? Hamas ipo wapi na ni kundi lake?. Wouth ni kundi lake lipo wapi?. Si yote hayo ni makundi yake na yapo kwenye nchi zingine. je siraha anayapaje hayo makundi?. Wewe ndiyo fikilia kabla ujaandika. Siraha anaweza kuwapa Ila askari awezi kupeleka siyo?.
 
Back
Top Bottom