Well [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]pale mchambuzi anapo ongozwa na mapenzi, mahaba juu ya mtu flani alafu upande wa 2 ana haisira, wivu, chuki kwa mwingine.
hakuna uchambuzi hapo mkuu ila utoto wa hali ya juu,naamini dimpozi ajasema mengi ndo maana una connect dot za ajabu
Umetumwa kusomwa au kiherehere chako?! Au ndo yale yale ya mtu kutaka akatafutiwe collabo US?Pumba pumba na mtext wako mrefuuuu km mkojo
Ningekuwa nimeku-tag labda ungesema nimetaka unieleweshe wewe... sasa kiherehere cha nini wakati hujakuwa tagged popote?Endelea kumsikiliza tu utamuelewa sasa unataka akueleweshe nani?
Sasa aliyekwambia ulete huku nani siungebaki nayo moyoni na ukilaza wako?Ningekuwa nimeku-tag labda ungesema nimetaka unieleweshe wewe... sasa kiherehere cha nini wakati hujakuwa tagged popote?
Hujui chochote wewe... kunakuwa na quid pro quo arrangement kati ya wasanii, kwa mfano, ngoma ile ile upande mmoja inaweza kuitwa X ft Y lakini ukienda nchini kwa Y, itaitwa Y ft X... hapo, issue ni mtonyo! Au inaweza kuwa kwa ajili ya kila mmoja kumtangaza mwenzake!! Kinyume chake, collabo ya Ommy na J Martins ni ya kutengenezewa... ya kuomba na sio ya kukubaliana na ndio maana Sallam akasema wazi "... safari hii lazima ulipe!"Acha ushamba wewe.
Inategemea na makubaliano ya mtu.
Johmakini feat. Chidnma ni bure, Johmakini feat. AKA ni bure.
AY na Romeo ni bure, Yemi Alade na saut Sol bure.
Usikariri.
Wasanii wanatumia hii nafasi kutafuta fun base kwenye nchi zingine.
Naomba tu nikupe pole jana Ommy amewa-outsmart mmeonekana vituko mbele ya jamii.
Una akili sana, umeusoma ukweli katikati ya mistari yake.pale mchambuzi anapo ongozwa na mapenzi, mahaba juu ya mtu flani alafu upande wa 2 ana haisira, wivu, chuki kwa mwingine.
hakuna uchambuzi hapo mkuu ila utoto wa hali ya juu,naamini dimpozi ajasema mengi ndo maana una connect dot za ajabu
Chige,wewe ni mtu makini lakini katika hili umekurupuka.
Umeshindwa kuzidhibiti hasira zako juu ya hili saga badala yake umemshambulia Ommy katika skendo inayomtafuna.
Mada yako 50% imelenga kumchafua Ommy na sio kuzungumzia masuala ya kikazi ambayo ndizo lawama alizozitoa Ommy.
Kama mtu makini sikutegemea kabisa uingie katika huo mkumbo.
Turudi katika hoja zako za connection na collabo.
Hivi unawezaje kusema kwamba Diamond asingeweza kumfanyia connection Ommy?
Diamond alikuwa anaenda katika tuzo za BET (kama sikosei)
Hivyo jina lake lilikuwa ktk vichwa/vinywa vya waliokuwa wengi...ile si connection kubwa tayari?
Diamond hakwenda kama ambavyo angeenda Ommy...yeye alienda kama star.
Hivyo endapo angeenda na Ommy hata ile kushake hands na akina Kanye West ingekuwa connection tayari.
Pia kuhojiwa kule na Karueche kungekuwa connection na hizo ndizo fursa zenyewe.
Katika hili Diamond anabeba lawama ya roho mbaya na wivu.
Hapendi wengine wapate japo kiduchu ya kile apatacho.
Hukuona Ali Kiba akienda na Baraka South Afrika?
Unadhani alienda nae kuuza sura?
Ile ni connection, hata kukutanishwa na Sauti Sol ni connection tayari.
Collabo hapa namuelewa Ommy,hata kama ningekuwa mimi nimemueleza rafiki mpango wangu kesho nikakuta keshaupandia dau ule mpango ingeniumiza na kunivunja moyo wa kuendelea na ule mpango.
Ni Ommy anayejua aliumia kiasi gani,hivyo kuipotezea kwake collabo na Davido huenda ana sababu zake nyingi na kulalamika huko ni sahihi.
Ni vyema tutaweka mihemuko na mahaba yetu juu ya tunaowashabikia wanapoteleza na kusema ukweli.
Kama ukweli ni vigumu kuusema basi ni busara zaidi kukaa kimya.
Period
Bwah! Bwah! Nani kasema kuna uchambuzi kama sio wewe mwenyewe na kiherere chako ndie umeleta suala laa uchambuzi? Hoja za msingi ndizo unatakiwa kujadili kama huwezi; piga kimya:pale mchambuzi anapo ongozwa na mapenzi, mahaba juu ya mtu flani alafu upande wa 2 ana haisira, wivu, chuki kwa mwingine.
hakuna uchambuzi hapo mkuu ila utoto wa hali ya juu,naamini dimpozi ajasema mengi ndo maana una connect dot za ajabu
Acha ushamba wewe.
Inategemea na makubaliano ya mtu.
Johmakini feat. Chidnma ni bure, Johmakini feat. AKA ni bure.
AY na Romeo ni bure, Yemi Alade na saut Sol bure.
Usikariri.
Wasanii wanatumia hii nafasi kutafuta fun base kwenye nchi zingine.
Naomba tu nikupe pole jana Ommy amewa-outsmart mmeonekana vituko mbele ya jamii.
Katika hili jukwaa huyu jamaa ni moja ya watu wenye kujifanya wanajua lkn ukichunguza ni mtu bias sanaAcha ushamba wewe.
Inategemea na makubaliano ya mtu.
Johmakini feat. Chidnma ni bure, Johmakini feat. AKA ni bure.
AY na Romeo ni bure, Yemi Alade na saut Sol bure.
Usikariri.
Wasanii wanatumia hii nafasi kutafuta fun base kwenye nchi zingine.
Naomba tu nikupe pole jana Ommy amewa-outsmart mmeonekana vituko mbele ya jamii.
Sasa Nifah, sawa tuweke mahaba na chuki pembeni!! Video ya Wanjera ndiyo ilifunga kabisa milango ya hawa watu na hii video ilikuwa released March, 2015! Kwahiyo Dimpoz anamzungumzia Diamond wa nyuma ya hapo... possibly Diamond wa 2014!!
Nisaidie wewe sasa! Hivi kweli kabisa unaamini Diamond wa 2014 alikuwa Star wa kuweza kumtafutia mtu collabo US? SERIOUS? By 2014, huyo Diamond alikuwa nominated BET mara ngapi kama sio mara moja tu?! Kabisa kabisa unaamini baada ya kuwa nominated mara moja ndo tayari alishakuwa star wa kuweza kumtafutia mtu collabo? By the way, kama alikuwa na huo uwezo, kwanini hizo collabo hakuanza nazo yeye mwenyewe? Kwanini hakuzitumia mwenyewe basi hizo connection? By the way, hizo BET unazosema si ndo zile ambazo WizKid alilalamika kwamba wasanii wa Afrika wanadharauliwa? Halafu bado unaamini single nomination ya Diamond ilishampa connection!! I know you Nifah, humaanishi hata kidogo but since ni Chibu utajilazimisha tu kusema "alikuwa star!"
Kuhusu Kiba na Baraka... ina maana hufahamu kwamba Baraka Da Prince yupo label moja na Ali Kiba... I mean Rockstar4000? Hufahamu hili? Kama ulipitiwa basi nakukumbusha kwamba Kiba na Baraka wapo label moja ya Rockstar4000 ambayo ipo South Africa!!!
Kawa-smart hao wanaosukumwa na chuki...! Yaani ukimsikiliza, unashindwa kabisa kujua anacholalamika ni nini! Na inavyoonekana Ommy Dimpoz alikuwa karibu sana na Sallam kuliko Diamond alivyokuwa na Sallam!! Sasa kama kweli shida yake ilikuwa ni kufanya collabo na Davido pamoja na Iyanya; sasa sijui nini kilimfanya asifaye nao! Diamond alilipa pesa hadi Nigeria kumfuata Davido kufanya shooting ya Number I Remix... sasa kama TZ ilishindikana, sijui kwanini huyo Dimpoz hakumfuata huyo Davido na Iyanya huko huko Nigeria!!! Kama alivyosema, alitaka bure bure kama ilivyokuwa kwa J Martin!Ommy hajamsmart mtu.
Ukisikiliza vizuri pale salamu aliposema kama sasa hivi hatukusaidii tena, ina maana kama Ommy alikuwa na historia ya kubebwa bebwa na alikuwa anaendelea kubebelezwa abebwe.
Kama kweli Ommy nia yake ilikuwa ni kutoka kimataifa kwa nini asingeshiriakiana na Sallam badala yake akawa anamsumbua Diamond?? Wakati Diamond huyo anamtegemea Sallam kwa Connection za Kimataifa??
Ommy alitaka kubebwa kwa kutumia mgongo wa urafiki, Management ya Diamond haikuwa tayari kumsaidia mtu ambaye hawana faida nae.
Kaka nilikuwa namuongelea uyo jamaa anajiita mchambuzi lbd hukunielewaManeno ya ki.ke hayo jombaa... sasa suala la kujifanya najua linatoka wapi? Ni-face basi kwamba najifanya najua badala ya kuongelea gizani halafu useme "sikukutaja wewe....!" Unakuwa kama Dimpoz bhana!! Sasa kama unapata shida sana na posts zangu; YES, NAJUA... una lingine?!
kwani kufanya collabo nani kasema lazima kulipana??? me najua ni makubaliano yao, wanaeza taka hela au wasitake...correct me if am wrong...