Sasa
Nifah, sawa tuweke mahaba na chuki pembeni!! Video ya Wanjera ndiyo ilifunga kabisa milango ya hawa watu na hii video ilikuwa released March, 2015! Kwahiyo Dimpoz anamzungumzia Diamond wa nyuma ya hapo... possibly Diamond wa 2014!!
Nisaidie wewe sasa! Hivi kweli kabisa unaamini Diamond wa 2014 alikuwa Star wa kuweza kumtafutia mtu collabo US? SERIOUS? By 2014, huyo Diamond alikuwa nominated BET mara ngapi kama sio mara moja tu?! Kabisa kabisa unaamini baada ya kuwa nominated mara moja ndo tayari alishakuwa star wa kuweza kumtafutia mtu collabo? By the way, kama alikuwa na huo uwezo, kwanini hizo collabo hakuanza nazo yeye mwenyewe? Kwanini hakuzitumia mwenyewe basi hizo connection? By the way, hizo BET unazosema si ndo zile ambazo WizKid alilalamika kwamba wasanii wa Afrika wanadharauliwa? Halafu bado unaamini single nomination ya Diamond ilishampa connection!! I know you
Nifah, humaanishi hata kidogo but since ni Chibu utajilazimisha tu kusema "alikuwa star!"
Kuhusu Kiba na Baraka... ina maana hufahamu kwamba Baraka Da Prince yupo label moja na Ali Kiba... I mean Rockstar4000? Hufahamu hili? Kama ulipitiwa basi nakukumbusha kwamba Kiba na Baraka wapo label moja ya Rockstar4000 ambayo ipo South Africa!!!