Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

Kila la heri, ila kumbuka unambishia mtu ambaye yuko jikoni tena ni mkazi wa kudumu wa huko.
Me ni mzaliwa WA huko na nimeishi karibu kila wilaya huko, hayo labda kama yanatokea huko vijijini ndanindani huko maana sijawahi kushuhudia Kwa macho zaidi ya kusimuliwa kama ambavyo unanisimulia hapa
 
Hao mabinti wanakuwa primary ama secondary
 
M
Huyo mwanafunzi msichana anakuwa primary au secondary?
Primary + si primary
Duh hatari
 
Imekaa poa sana hii 😄 nitakuja kufanya utalii wa ndani huko
 
Nasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 (wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?

Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
Ni kweli wala sio siri au uongo.
 
Sio kutembelea Mimi Ni mzaliwa WA kule kabisa karibu wilaya zote nimetembea na kuishi .. Labda Wewe uniambie hayo mliyoyaona wilaya gani, likizo na Mimi niende nikajionee Kwa macho tena
Nimetokea kuvutiwa na huko kwenu Leejay49 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…