Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila la heri, ila kumbuka unambishia mtu ambaye yuko jikoni tena ni mkazi wa kudumu wa huko.Ni maoni yako... Sijaona la ukweli uliloandika hata moja
Me ni mzaliwa WA huko na nimeishi karibu kila wilaya huko, hayo labda kama yanatokea huko vijijini ndanindani huko maana sijawahi kushuhudia Kwa macho zaidi ya kusimuliwa kama ambavyo unanisimulia hapaKila la heri, ila kumbuka unambishia mtu ambaye yuko jikoni tena ni mkazi wa kudumu wa huko.
Hao mabinti wanakuwa primary ama secondaryWazazi wengi hawasapoti Elimu, husapoti mahusiano hata ya umri ndogo unakuta Binti mdogo wakiume pia umri mdogo wengine ushiriki ndoa na watu wazima,
Itoshe kusema jamaa zangu waache uvivu pia ardhi Yao ni kubwa miti yakutisha na imebarikiwa sana
Wakiacha uvivu,Ushirikina,Elimu duni hata watu wa Masasi na wengineo kama Sukama gang hawatovamia ardhi yao
Primary + si primaryHao mabinti wanakuwa primary ama secondary
Naomba nikuambie tu ukweli, usije dhani tuna nia ovu kusema jamii x ina tamaduni flani flani ambazo ni mbaya ukadhani jamii zingine hazina mambo ya hovyo.
1. Kwa mikoa ya kusini, watoto wanasoma shule vizuri tu kama wengine wa mikoa mingine ingawa wanaofaulu kuendelea mbele ni kundi dogo, hili halina ubishi.
2. Mtoto akishatoka jandoni/unyagoni huwa yuko huru kiasi flani na ana maamzi ndani ya familia, kama ni binti baba hauna maamzi makubwa juu yake ingawa mama/wajomba wanaweza amua jambo lolote juu ya binti husika.
3. Suala la ngono ni kitu cha msingi kwa mabinti wengi tena wazazi wanabariki hilo na kama mhusika utakuwa unawapa ofa ndogo ndogo utakuwa unaitwa "baba" kabisa kutoka kwa wazazi wa yule binti.
Utasikia baba kesho uwahi kutusaidia kupuliza mikorosho, hapo huwa inafikia hatua baadhi wanakukabidhi chumba unaishi na binti yao kwao na huku huyo binti akiwa anaendelea na masomo.
N:B Hali hii haiwahusu mabinti wote ni baadhi miongoni mwao.
4. Ushirikina, uchawi na mambo yote ya kimila ni jambo jumuishi kwa familia KARIBU zote bila kujalisha ni familia za swala tano au wafuasi wa Gwajima.
Angalizo, kuna wateule wachache mno wameamua kujitenga na mila.
5. Ndoa, ni kitu kisichothaminiwa kwa kupewa heshima yake sitahiki.
a) Mfano, ukimshika ugoni mwanandoa, huwa unalipishwa fedha kiasi flani na maisha yakaendelea
b) Wanawake wengi hawadumu kwenye ndoa, ukichukua kundi la wanawake 20 wenye umri wa miaka 30, wanawake zaidi ya 13 wameshaachika na kuolewa pengine zaidi ya mara moja.
c) Asilimia kubwa ya wanaume, wana watoto wa nje ya ndoa
Hayo machache niliyoyaongea ni kweli tupu hususani maeneo yote ya vijijini kwa mikoa ya Mtwara na Lindi.
Leejay49 naomba uje na data za kukanusha hayo machache niliyoyaandika hapo juu.
Huyo mwanafunzi msichana anakuwa primary au secondary?Naomba nikuambie tu ukweli, usije dhani tuna nia ovu kusema jamii x ina tamaduni flani flani ambazo ni mbaya ukadhani jamii zingine hazina mambo ya hovyo.
1. Kwa mikoa ya kusini, watoto wanasoma shule vizuri tu kama wengine wa mikoa mingine ingawa wanaofaulu kuendelea mbele ni kundi dogo, hili halina ubishi.
2. Mtoto akishatoka jandoni/unyagoni huwa yuko huru kiasi flani na ana maamzi ndani ya familia, kama ni binti baba hauna maamzi makubwa juu yake ingawa mama/wajomba wanaweza amua jambo lolote juu ya binti husika.
3. Suala la ngono ni kitu cha msingi kwa mabinti wengi tena wazazi wanabariki hilo na kama mhusika utakuwa unawapa ofa ndogo ndogo utakuwa unaitwa "baba" kabisa kutoka kwa wazazi wa yule binti.
Utasikia baba kesho uwahi kutusaidia kupuliza mikorosho, hapo huwa inafikia hatua baadhi wanakukabidhi chumba unaishi na binti yao kwao na huku huyo binti akiwa anaendelea na masomo.
N:B Hali hii haiwahusu mabinti wote ni baadhi miongoni mwao.
4. Ushirikina, uchawi na mambo yote ya kimila ni jambo jumuishi kwa familia KARIBU zote bila kujalisha ni familia za swala tano au wafuasi wa Gwajima.
Angalizo, kuna wateule wachache mno wameamua kujitenga na mila.
5. Ndoa, ni kitu kisichothaminiwa kwa kupewa heshima yake sitahiki.
a) Mfano, ukimshika ugoni mwanandoa, huwa unalipishwa fedha kiasi flani na maisha yakaendelea
b) Wanawake wengi hawadumu kwenye ndoa, ukichukua kundi la wanawake 20 wenye umri wa miaka 30, wanawake zaidi ya 13 wameshaachika na kuolewa pengine zaidi ya mara moja.
c) Asilimia kubwa ya wanaume, wana watoto wa nje ya ndoa
Hayo machache niliyoyaongea ni kweli tupu hususani maeneo yote ya vijijini kwa mikoa ya Mtwara na Lindi.
Leejay49 naomba uje na data za kukanusha hayo machache niliyoyaandika hapo juu.
Duh hatariPrimary + si primary
Wapo wachache wa primary ila secondary ndiyo wengi zaidiM
Huyo mwanafunzi msichana anakuwa primary au secondary?
Duh hatari
Lindi bado sana hata mjini hamna kitu pale hovyo sana..Labda Kwa Mtwara
Imekaa poa sana hii 😄 nitakuja kufanya utalii wa ndani hukoMwambie mtoto akishatoka jandoni (mvulana) au unyagoni (binti), huyo ni mtu mzima.
Hivyo, suala la yeye kujihusisha na mapenzi ni kitu cha kawaida, tena unaweza kuwa unamhitaji binti flani ukaamua kuongea na mama yake bila hata binti kuwepo, mama akiridhia ukamwachia dagaa wa kula mchana, ujue jioni lazima binti ajilete mwenyewe kwako.
Cc Bongotunacheza
Ni kweli wala sio siri au uongo.Nasikia mikoa ya kusini Lindi na Mtwara wasichana wanaanza ngono wakiwa na miaka 13 (wanakuwa na mahusiano na watu wazima kabisa) na wazazi wana kuhusu?
Naomba ulifanyie utafiti na hilo mkuu
Ni kweli kabisa, mbona hata Tunduru iko hii, hata songea vijijini sehemu ambako wako wayao (muhukuru) ipo wazi.Uongo
Nimetokea kuvutiwa na huko kwenu Leejay49 😄Sio kutembelea Mimi Ni mzaliwa WA kule kabisa karibu wilaya zote nimetembea na kuishi .. Labda Wewe uniambie hayo mliyoyaona wilaya gani, likizo na Mimi niende nikajionee Kwa macho tena