Hatimae nimeamua kuandika kitabu kuhusu mtindo wa maisha ya watu wa mikoa ya Kusini mwa Tanzania

Andika ni nzuri sana kwa kizazi chetu na cha kesho. Nimekiona kile cha miaka 700 ya wachaga. Vijana wetu wanazaliwa na hawana ufahamu wa kutosha kuhusu asili ya makabila yao na hivyo kuwa na mtazamo duni na hasi juu ya asili zao na kuenzi umagharibi zaidi.
 
[emoji106]
 
Jitahidi unapoandika hiki kitabu uwe umepita Ndanda Mission Bookshop pale,kuna vitabu vya miongozo katika historia hasa makabila ya kusini na masuala ya Kimila na tamaduni.
Pili,katika uandishi wako watu sahihi na muhimu ni machifu (Mamwenye) wana msaada kukupa majibu otherwise ukisikiliza humu utakula za uso.
Kuhusu masuala ya IQ ndogo sijajua ametumia criteria gani au amesimuliwa na nani mchangiaji maana shule bora za vipaji zipo na zina wadau wa kusini,watu muhimu wenye mchango hapa Bongoland wapo wenye asili ya kusini. Mentality yake inaweza kuungwa na masuala ya kimaendeleo labda.
 
Mi nachojua ndo wanaongozs kwa umaskini na wana iq ndogo kupita kanda zote
Mi natokea lindi nimesoma na watu wa mikoa yote tz na kwangu walikuwa maboksi tu na wengi walikuwa washamba, sio wajuvi wa mambo, hawana uwezo wa kufikiri kama wangu na hata wewe pia hunifikiii.....!!!
 
Reactions: BRN
Jambo la maana sana.

Usiwe serious sana kwenye kitabu utuoneshe na "lighter side" yao, yaani vituko vyao. Maana kwetu watu wa kusini huko tunawaona ni watu wa vituko tu.
Na Mkapa eehh?!
 
Kuna mambo yanasemwa kwa ubaya kwa sababu ya kukaririshwa na maneno ya vijiweni tu.
Nimezaliwa, nimekulia,nimefanya kazi Kusini...nimezunguka,nimeishi,nimefanya kazi na watu wa zaidi ya mikoa ya Kanda zote za nchi hii.
Mambo mengi yanayosemwa vibaya yanasemwa na wale ambao hawajapata fursa ya kutembelea maeneo mengine ya Tanzania na kufanya ulinganisho.
Nakupenda nyumbani Kusini..
LIKUD ningekusimulia mambo ya Jandoni sema ni SIRI kubwa sana kuyasema hadharani
Suala la IQ ni mtambuka tu .
 
Umepindua..Msondo unakuwa wa mwisho..mara tu baada ya mwanamke kupata ujauzito/ndoa.
Kama alivyoeleza Mideko hapo juu.
 
Uko sahihi kabisa
 
Na Mkapa eehh?!
Huyo ndiyo alikuwa kituko haswa akishapiga whiskey zake.

Mkapa alivyohamia Dar, mtaa wa Livingstone, alishawahi kukaa nyumba inayouzwa bangi. Hiyo nyumba mbele ilikuwa na duka la mwarabu anaitwa Abdul Malik na nduguye anaitwa Malik. Wenyewe hao walikuwa watu wa bangi. Uso kwa uso na nyumba hiyo kulikuwa kuna nyumba maarufu "kwa mjumbe", ikiuzwa gongo, Mkapa alikuwa akijitosa humo mara moja moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…