Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zake
[emoji106]cocastic kwa bahati nzuri wenzako tumefanya utafiti kuhusu mila na desturi za akinamama mikoa ya Lindi na Mtwara (late 80s). Tunafahamu kitu inaitwa unyago, unyao etc. Mtoto wa kike kusema za ukweli huwa anafundishwa kutokana na umri wake na nini anategemea kukutana nacho. Mtoto wa kike kabla ya kuvunja ungo atapelekwa unyago ili ajiandae na MP na kuelezwa nini anategemea, atafanya nini na hatari zilizo mbele yake.
Binti akifika umri wa kuolewa atapata mafunzo jinsi ya kuhandle mwanaume etc, akiwa na mimba anachezwa ili afundishwe jinsi ya kulea mimba, atakapojifungua afanye nini ili kumlidhisha mwanaume ili asimbemende mtoto; jinsi ya kupanua nyonga ili mtoto asije kukwama wakati wa kujifungua (kumbuka Wamasai wao hukataza mama mwenye mimba asinywe maziwa etc ili mtoto asiwe mkubwa akashindwa kupita); jinsi ya kumkomaza mtoto kila asubuhi etc
Kwa bahati mbaya watu wengine huwa hawajui haya masuala. Kuna tofauti kati ya Wamakonde (Patrilineal) na wengineo kama Wamwera, Wayao etc ambao ni Matrilineal = Mwanaume akioa anaenda kukaa kwa wakwe zake na kuatumika (kama manamba). Naachia hapa
Mi natokea lindi nimesoma na watu wa mikoa yote tz na kwangu walikuwa maboksi tu na wengi walikuwa washamba, sio wajuvi wa mambo, hawana uwezo wa kufikiri kama wangu na hata wewe pia hunifikiii.....!!!Mi nachojua ndo wanaongozs kwa umaskini na wana iq ndogo kupita kanda zote
Na Mkapa eehh?!Jambo la maana sana.
Usiwe serious sana kwenye kitabu utuoneshe na "lighter side" yao, yaani vituko vyao. Maana kwetu watu wa kusini huko tunawaona ni watu wa vituko tu.
Umepindua..Msondo unakuwa wa mwisho..mara tu baada ya mwanamke kupata ujauzito/ndoa.Kuna vitu viwili jamii ya watu wa kusini wanafanya au jamii za kiyao.
Msondo, hapa ndo wanawacheza watoto wadogo, mambo wanayofundishwa ni namna ya kufanya mapenzi, usafi wa mwili, Etc
Unyago, hapa wanawacheza mabinti wakubwa na tayari wameshavunja ungo, wanafundishwa namna ya kulea mume, maisha ya ndoa, ujauzito, etc.
Ndo maana mtoto wa 13yrs tayari anajua kila kitu ktk mapenzi na anakua ktk mahusiano.
Ngono inaabudiwa sana ktk jamii hizo, mtoto wa kiume wa 12 yrs akitoka jandoni anatafuta mtoto wa kike wa 10 yrs wanafanya ufuska na wazazi wanajua, tena wanaona fahari.
Uko sahihi kabisacocastic kwa bahati nzuri wenzako tumefanya utafiti kuhusu mila na desturi za akinamama mikoa ya Lindi na Mtwara (late 80s). Tunafahamu kitu inaitwa unyago, unyao etc. Mtoto wa kike kusema za ukweli huwa anafundishwa kutokana na umri wake na nini anategemea kukutana nacho. Mtoto wa kike kabla ya kuvunja ungo atapelekwa unyago ili ajiandae na MP na kuelezwa nini anategemea, atafanya nini na hatari zilizo mbele yake.
Binti akifika umri wa kuolewa atapata mafunzo jinsi ya kuhandle mwanaume etc, akiwa na mimba anachezwa ili afundishwe jinsi ya kulea mimba, atakapojifungua afanye nini ili kumlidhisha mwanaume ili asimbemende mtoto; jinsi ya kupanua nyonga ili mtoto asije kukwama wakati wa kujifungua (kumbuka Wamasai wao hukataza mama mwenye mimba asinywe maziwa etc ili mtoto asiwe mkubwa akashindwa kupita); jinsi ya kumkomaza mtoto kila asubuhi etc
Kwa bahati mbaya watu wengine huwa hawajui haya masuala. Kuna tofauti kati ya Wamakonde (Patrilineal) na wengineo kama Wamwera, Wayao etc ambao ni Matrilineal = Mwanaume akioa anaenda kukaa kwa wakwe zake na kuatumika (kama manamba). Naachia hapa
Huyo ndiyo alikuwa kituko haswa akishapiga whiskey zake.Na Mkapa eehh?!