Lee Van free
JF-Expert Member
- Aug 14, 2024
- 2,833
- 8,777
Maadhimisho ya kusherehekea miaka 80 toka kushindwa kwa majeshi ya NAZI yaliyoshindwa Majeshi ya Urusi, yamefanyika Moscow, huku yakihudhuriwa na Marais wa nchi rafiki wa Urusi bila Marais wa nchi za Magharibi isipokua Marais wawili TU wa Magharibi ndio waliohudhuria.
Naandika yamepita salama kwa sababu Mheshimiwa Zelensky alipanga kuharibu shughuli.
Zelensky ni nunda na ni nunda kweli kweli,kwani siku kabla ya Sherehe hizo alitoa onyo kua hawezi kuwahakikishia usalama Viongozi wa Mataifa ya nje watakaohudhuria.
Urusi iliitaka Ukraine isitishe mapigano Kwa siku Tatu kwa ajili yavkupisha Sherehe hizo,lakini Zelensky alikataa ombi hilo ndipo akatoa kauli yake hiyo kua hawezi kuwahakikishia usalama wao.
Kauli hiyo ilimaanisha kwamba hayuko tayari kwa usitishaji wa vita Kwa siku Tatu.
Aisee mkubwa ni mkubwa TU,
Baada ya zelensky kujibu hivyo Urusi Sasa ikatoa tamko Kali kua kama Ukraine itashambulia Sherehe hizo basi ukraine ijiandae kwa kipigo ambacho hakikuwahi kutolewa.
Kwa ununda wa zelensky na wafadhiri wake nikajua ni lazima watashambulia Moscow kwa droni,lakini amini nawaambia hakuna hata droni iliyorushwa siku ya Leo.
Dunia hii Ina Wababe jamani Tuache masihara.
Mukwala wa Urusi umemtuliza Nunda Zelensky.
Updated 6:49 AM EDT, Fri May 9, 2025
Mikhail Korytov/RIA Novosti/AP
Russian President Vladimir Putin and Chinese President Xi Jinpin watch the Victory Day military parade in Moscow on Friday.
CNN —
Russian President Vladimir Putin has taken center stage at Russia’s Victory Day parade on Friday, surrounding himself by friendly world leaders in a highly choreographed show designed to show the Western world that Russia is far from isolated.
Watching as thousands of troops marched across Moscow’s Red Square, Putin stood next to his guest of honor, the Chinese leader Xi Jinping.
The annual May 9 commemoration of the Soviet Union’s victory over Nazi Germany in World War II is one of the most important days in Putin’s calendar, and this year marks its 80th anniversary.

Putin, Xi and friendly world leaders celebrate Russia’s Victory Day at Moscow Parade
By Ivana Kottasová, CNNUpdated 6:49 AM EDT, Fri May 9, 2025