Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu.
Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya wanawaambia muwekeze kwa wanawake na kuishia Kuliwa vi hela vyenu na kufujwa muda wenu bure.
Ndio hivyo oneni wenyewe nimetumia meseji ngapi kupata tunda la huyo mchumba wa mtu....?
Nyie majentromeni uchwara amkeni ...zundukeni kabla hamjapata mafunzo kwa vitendo