Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu.

Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya wanawaambia muwekeze kwa wanawake na kuishia Kuliwa vi hela vyenu na kufujwa muda wenu bure.

Ndio hivyo oneni wenyewe nimetumia meseji ngapi kupata tunda la huyo mchumba wa mtu....?

Nyie majentromeni uchwara amkeni ...zundukeni kabla hamjapata mafunzo kwa vitendoView attachment 3112916
Kwa iyo ww mpori kukutana na makahaba wanao jiuza unadhani ume win???
 
Nlitaka kumchamba huyu mleta uzi 🚮 ila mliotangulia mmemaliza👏🏽
 
Siyo mapenzi tu bro, mahusiano yote.Acha ushambaaa,kudate na wapenzi wa wenzio na kuja kujinadi hapa.Acha ushambaaa,hukukaa miezi Tisa tumboni ili mama ako aje ajutie kukuzaaa,hiloooo
Sasa kwani hapo naenda kufanya nn
 
Hao malaya wa telegram huwa wanaliwa siku hiyohiyo ndani ya dakika 3 tu we amekuzungusha kwanzia Aug 30 hadi October 2
Hiyo August 10 nilikua busy na vikojoleo vingine......na hiyo ni WhatsApp sio telegram boy harusi yake mwezi ujao
 
Mbona hapo wewe ndio unaonekana unafosi mapenz kwanza sms wewe ndio unajibu ontime na hakuna sehemu huyo dem kaonekana anakutaka sana hiz sms zako kajibu cul wala hajatuma double text 'na kwanini umefuta hiyo sms yako.

Wewe ni fala tu na mshamba wa maku.
Ahahaahaa wabongo bana huyo anamzunguka mwenzie hivyo anajiwekea security anahisi labda nampima cos bado hatuja chubuana ila live na calls anaongea fresh na amenyooka sema baada ya kuona kistatus chake ndio nika msuprise na tarehe ya kunyanduliwa
 
Nilipo soma neno limbukeni nikakumbuka neno ""ZUMBUKUKU"" natamani kujua Kama ni maneno ya nayo endana.

Mwenye kujua anaweza kukusaidia kwa faida ya WENGI.
Kama ndio wewe unae taka kumuoa ndio hivyo nakusaidia
 
Ni hivi leo naenda kujitafunia mchumba mtu.

Lengo la kuwaletea huu uzi ni kuwaasa vijana wa kiume walio kwenye miaka 19 hadi 29. Kuwa msiwekeze kwenye mapenzi jiwekezeni kwenu wenyewe. The more utajiwekeza ndivyo nafasi yako kubwa ya kufuatwa na hawa watoto wazuri inakua kubwa. Japo maboya wanawaambia muwekeze kwa wanawake na kuishia Kuliwa vi hela vyenu na kufujwa muda wenu bure.

Ndio hivyo oneni wenyewe nimetumia meseji ngapi kupata tunda la huyo mchumba wa mtu....?

Nyie majentromeni uchwara amkeni ...zundukeni kabla hamjapata mafunzo kwa vitendoView attachment 3112916
Unaonekana una kaushamba flani hivi kuhusu mbususu
 
Back
Top Bottom