Hatimae siku imefika ikiwa na hali nzuri.

Kwa iyo ww mpori kukutana na makahaba wanao jiuza unadhani ume win???
 
Nlitaka kumchamba huyu mleta uzi 🚮 ila mliotangulia mmemaliza👏🏽
 
Siyo mapenzi tu bro, mahusiano yote.Acha ushambaaa,kudate na wapenzi wa wenzio na kuja kujinadi hapa.Acha ushambaaa,hukukaa miezi Tisa tumboni ili mama ako aje ajutie kukuzaaa,hiloooo
Sasa kwani hapo naenda kufanya nn
 
Hao malaya wa telegram huwa wanaliwa siku hiyohiyo ndani ya dakika 3 tu we amekuzungusha kwanzia Aug 30 hadi October 2
Hiyo August 10 nilikua busy na vikojoleo vingine......na hiyo ni WhatsApp sio telegram boy harusi yake mwezi ujao
 
Ahahaahaa wabongo bana huyo anamzunguka mwenzie hivyo anajiwekea security anahisi labda nampima cos bado hatuja chubuana ila live na calls anaongea fresh na amenyooka sema baada ya kuona kistatus chake ndio nika msuprise na tarehe ya kunyanduliwa
 
Nilipo soma neno limbukeni nikakumbuka neno ""ZUMBUKUKU"" natamani kujua Kama ni maneno ya nayo endana.

Mwenye kujua anaweza kukusaidia kwa faida ya WENGI.
Kama ndio wewe unae taka kumuoa ndio hivyo nakusaidia
 
Unaonekana una kaushamba flani hivi kuhusu mbususu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…