Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

Uhaini sindio huu? Lakin nn kilitokea ? Aliondolewa kwenye nafasi. No case ilifunguliwa
Why because yupo upande wa kijani?
Wako Wengi sana, kuna Ile ya Nape, kuna Ile ya Yule Mwenyekiti wa UVCCM now ni DC aliyesema kuwa this time watatumia sindano za sumu
 
Benard Makoye Maendeleo pengine kaunga juhudi na mpunga mnene akauvuta. Ukitaka uishi maisha mazuri mtumikie muumba wako
 
Hiki ndiyo chanzo cha kuzaliwa ugaidi,maana umeonewa halafu unauwezo wa kuzaminiwa na watu kwa vifaa,unaenda kuwafanyia ili wapate adabu
 
Ningependa kuwauliza swali hao walioachiliwa je watarudia tena kuwa mawakala?
 
Kwa hali hii ...Afadhali hata CHADEMA wasijihusishe na uchaguzi...
Kuna mwingine alipewa kesi ya mauaji nafikiri ni Njombe,

Arusha Kuna wakala watatu walijidai kukomaa kwenye vituo..wakachukuliwa Kwenda mahabusu wiki mbili wakatolewa..na hakuna kesi
 
Kwa hiyo hizi Mahakama tuziamini au bado zinaendeshwa na serikali?
Mahakama ni Hakimu/jaji na siyo jengo. Wapo majaji/mahakimu hutumia weledi kufanya maamuzi.

Lakini Kuna ushahidi wa kutosha usiotia shaka kwamba mambo mengi ya haki za kikatiba za raia dhidi ya CCM, mahakama zetu huwa hazina uwezo wa kwenda kinyume na matakwa ya CCM.
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…