Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

Hatimae Vijana wa CHADEMA waliopewa kesi ya UBAKAJI na CCM washinda dhuluma

Dah, Nimeumia na kushindwa kuyazuia machozi kutoka. Hakika watu wana roho mbaya sana. Hili suala si la kumuachia Mungu, bali kushughulika nalo ili huko Mbinguni kama kupo tukatoe report. Mengine tumalizane hapahaapa duniani.
 
Hukumu yao ipo hapa hapa duniani...

Wote waliowatesa na kuwashitaki ndugu zetu hawa kwa makosa ya uongo wa kusingizia tu, mkono wa hukumu ya haki ya Mungu uwe juu yao....

Na wakitaka kujiponya wao na nafsi zao, basi wafanye jambo moja muhimu na la maana kabisa - TOBA.....

Wakimbie na kwenda kutubu makosa yao mbele ya waliowakosea na mbele za Mungu muumba wa mbingu na nchi. Wakishupaza shingo, kufa na wafe hakika...!!
 
Kuna watu Wajinga wanataka chama kishiriki uchaguzi kwa mazingira haya.
Wao wapate nusu mkate, mawakala wapelekwe jela au kupoteza maisha.
 
Huyu shetani bado yuko uraiani?watu mliopoteza ndugu zenu haswa wanasiasa mwaka 2020 fungueni kesi mtuhumiwa wenu huyu hapa
kwa mahakama hizi hizi na Polisi wa upelelezi hawa hawa? ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom