Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.


Mkuu sio mafuta tu, kuna issu ya WHITE SUGAR, bongo hii kitu nadhani hakuna, tulitegemea ya nje na imepigwa uagizaji wa Sukari, sasa huku mtaani kwa watengeenza wa keki ni balaa na baadhi ya vinywaji.
 
Naomba wafungie tu...kila kitu....ili hasira zitupande tuandamane
 
Back
Top Bottom