Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.
 
Wacha nikakamue alizeti yangu niweke ndani kwa ajili ya familia!! Wakulima wapandishe bei ya karanga mamamake alisema tutasigina karanga ili tupate vya kuungia!! Mataahira huwaga hayana break yakiamua!!
 
ushamba ule ule kama sukari wakati ule....
matokeo yake? hadi leo sukari bei haijashuka na importation ya sukari (ambayo then ilikuwa ndiyo bone of contention) ndiyo kwanza imekuwa kubwa kuliko zamani.

bei ya mafuta nayo ikipanda sasa haitashuka milele!

asante rais wa wanyonge!!
Tumieni nazi na mawese, mbona ni mafuta safi tu! Hayo mnayong'ang'ania ndo hayo hayo yanasababisha magonjwa ya moyo.
 
Wacha nikakamue alizeti yangu niweke ndani kwa ajili ya familia!! Wakulima wapandishe bei ya karanga mamamake alisema tutasigina karanga ili tupate vya kuungia!! Mataahira huwaga hayana break yakiamua!!
Tutatumia samli, mawese na nazi. Shida iko wapi? Mbona zamani tulikuwa tunayatumia?
 
Hapa kazi tu...
FB_IMG_1525170616192.jpg
 
Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Hata hivyo swala la mchele limetokana na kukwama kwa magari kutokana na mvua...
 
Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.
Sidhani kama mna taarifa kamili maana mafuta yamekwamia bandarini kutokana na mkanganyiko wa kodi..
 
Mkuu alipozindua kiwanda cha kusindika.mafuta ya kula pale Singida alikemea tabia ya baadhi ya wafanyabiashara kuleta mafuta kutoka nje.na badili yake wajenge viwanda kama alichozindua. Na jamaa (maafisa serikalini) hawapigiwi wanacheza ndio hivyo mkuu kasema
 
Anajiita jambazi ilhali ana tabia za mtt wa kike,naomba nirudie sio mwanamke ila mtt wa kike

Jina na matendo yake ni tofauti kumbe. Asante kwa kufahamu hilo mkuu.

Ni hatari sana kwa afya ya mgongo.
 
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Source: Dukani kwa Mangi
 
Kwanini nyie watu (Tusi nimelifuta) kila kitu mnakifanya Siasa? Hii ni taarifa tu, tuwe na akili kidogo some times, Sio kila kitu ni Siasa na jokes! Haya ni maisha yetu sote
Hao wameagizwa kufanya kazi hiyo. Na ndo ujira wao. Wasamehe bure mkuu
 
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.

Watakuambia wewe ni CHADEMA achana na sisi..
 
Back
Top Bottom