Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi huko wamevuna?Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Tumieni nazi na mawese, mbona ni mafuta safi tu! Hayo mnayong'ang'ania ndo hayo hayo yanasababisha magonjwa ya moyo.ushamba ule ule kama sukari wakati ule....
matokeo yake? hadi leo sukari bei haijashuka na importation ya sukari (ambayo then ilikuwa ndiyo bone of contention) ndiyo kwanza imekuwa kubwa kuliko zamani.
bei ya mafuta nayo ikipanda sasa haitashuka milele!
asante rais wa wanyonge!!
Tutatumia samli, mawese na nazi. Shida iko wapi? Mbona zamani tulikuwa tunayatumia?Wacha nikakamue alizeti yangu niweke ndani kwa ajili ya familia!! Wakulima wapandishe bei ya karanga mamamake alisema tutasigina karanga ili tupate vya kuungia!! Mataahira huwaga hayana break yakiamua!!
Mwaka huu itakuwa Neema kubwa kwa wakulima wa alizeti.Mafuta ya kula robo 1200
Iflation imeshuka hadi 3% - JPMHizi ni taarifa nzuri kwa Ufipa...
si uje huko mikoani unang'ang'ania dar kwani sisi bado kilo ya mchele 1,550/=Mchele ni anasa Dar. Kilo ya mchele ule mbaya kabisa ni shs 3000
Hata hivyo swala la mchele limetokana na kukwama kwa magari kutokana na mvua...Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Sidhani kama mna taarifa kamili maana mafuta yamekwamia bandarini kutokana na mkanganyiko wa kodi..Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.
si ndiyo kuharakisha kwenyewe. Tamko linatolewa na kuanza kazi hapohapo, lazima lilite usumbufu. Waagiza mafuta hawajapewa mda.Sidhani kama mna taarifa kamili maana mafuta yamekwamia bandarini kutokana na mkanganyiko wa kodi..
Anajiita jambazi ilhali ana tabia za mtt wa kike,naomba nirudie sio mwanamke ila mtt wa kike
Source: Dukani kwa MangiSiandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Hao wameagizwa kufanya kazi hiyo. Na ndo ujira wao. Wasamehe bure mkuuKwanini nyie watu (Tusi nimelifuta) kila kitu mnakifanya Siasa? Hii ni taarifa tu, tuwe na akili kidogo some times, Sio kila kitu ni Siasa na jokes! Haya ni maisha yetu sote
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.