Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisingeweza kuandika thread ya uongokweli yalikuwa 53000 ghafla 60000+ . kwa dumu la lita 20.
sijui tatizo ni nini.
Mafuta ya kupikia hayapatikani....no politicsContent yako mkuu haijashiba/ haieleweki jaribu kuongeza nyama nyama.
So what....??Kwahiyo mlitakaje labda, hiki ni kipindi cha mpito, demand ikipanda inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kuwekeza katika kuongeza uzalishaji kwenye viwanda vya ndani, ila ukiruhusu cheap oil toka nje ni unaua viwanda vya ndani
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
Ubinafsi utatumalizaSisi maindustrialist wa lakezone,nikuchekelea tu,
wiki ijayo tukianza kukamua pamba tutapiga hela ya hatari,
ooh lala lala,we are in the money....
DOGO SITAKI TUBISHANE! SAWA?Acha uongo, free basics huwezi kupost/comment chochote!
ha ha kidogo cholestro itapungua iwe wastani.Mafuta hayo ndiyo chanzo kikuu cha magonjwa ya moyo. Ngoja kwanza tuwe healthy kidogo mkuu yatarudi [emoji16][emoji16][emoji16]
ngoja tuwaulize mount meru kama bado wanayo.Hata ya Singida?
Mh. Keshasema ila bado mnakaidi..CCM pikeni yale masufuria yenu ya ubwabwa na nyama mnayopikaga wakati wa kampeni za uchaguzi wananchi masikini waje kula.
Aisee kwelii..yan hyo bei ya nyanya imenifanya nisahau kupika roast..ni Mwendo wa chukuchuku tu sasa.Mafuta Robo Tsh 900
Tsh 200 Nyanya 1
Mkuu uzalishaji hautoshi kukidhi mahitaji ya soko ndio maana tunaagiza nje, halafu pia mafuta ya ndani ni bei ghali kuliko ya nje.Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.