Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Kwahiyo mlitakaje labda, hiki ni kipindi cha mpito, demand ikipanda inakuwa ni fursa kwa wafanyabiashara kuwekeza katika kuongeza uzalishaji kwenye viwanda vya ndani, ila ukiruhusu cheap oil toka nje ni unaua viwanda vya ndani
So what....??
 
Siandiki kwa Ushabiki Bali kwa uchungu! Mafuta ya kupikia yameshakua dili. Waliyonayo wameyafungia, naomba serikali ya CCM isiwakamate lakini iwabembeleze wayauze. Wanaouza wanauza kwa bei ya juu. Source, Dukani kwa Mangi.
 
CCM pikeni yale masufuria yenu ya ubwabwa na nyama mnayopikaga wakati wa kampeni za uchaguzi wananchi masikini waje kula.
 
Juzi nilisikia mama lishe wanalalamika mafuta ya korie ndoo ya lita 10 ilikua 28 imefika 34. Na leo inaweza kupanda zaid

Sasa tunaopenda sundrop sijui yatakua sh ngap saiv
 
Acha uongo, free basics huwezi kupost/comment chochote!
DOGO SITAKI TUBISHANE! SAWA?
Screenshot_2018-05-02-21-01-40.jpg
 
Muanze kuzoea kula ugali an nguru wa kuchoma au an kipande cha papa kama sisi wahenga tulivyosoteswa enzi za mchonga meno na biashara yake ya kukaza mikanda miezi 18! Vyuma vitakaza haswaaaa. ...
 
Kifuatacho mtaanza kupanga foleni ya mkate....kula kwa resheni. ..mambo ya kupanga foleni kwa mangi kusuburi mkate wa NMC...
 
Labda hili mkuu kalifanya kwa kuliharakisha sana. Lakini hili ni jambo zuri ili kulinda wakulima wa alizeti, mawese na viwanda vya ndani vya kukamua mafuta.
Mkuu uzalishaji hautoshi kukidhi mahitaji ya soko ndio maana tunaagiza nje, halafu pia mafuta ya ndani ni bei ghali kuliko ya nje.
 
Back
Top Bottom