Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Tetesi: Hatimae Yametimia, Hakuna Mafuta ya kupikia

Hapa ni muda wa mafuta ya transforma kuanza kutumika .wapenzi wa chips zama zenu kuharibu afya zenu
 
Tujiongeze jamani. Alizeti inaoza Singida na ni natural no kuchakachua. Unapenda feki vya nje sana subiri magonjwa. Mawese yako kibao kule kwz Zito k
 
Mnyonge ni mtu wa kipato gani?

Sasa ndugu hiyo tulijifunza darasa la 4, Kama hata hilo darasa hukulisoma mimi sina cha kukusaidia, Ila kwa sababu Elimu ni Bure sasa hivi unaweza anza tu darasa la kwanza kabisa halafu utaelimishwa haya mambo ndugu yangu!
 
Mimi nataka yafike Lita moja 5000
Kwetu ndo tunanunua hivyo.......huku Lindi kila kitu bei ya bombadia.......mchele mzuri 4500 ...papai lisiloeleweka 2000 zuri 4500 ....nanasi 5000 tikiti 6000/7000 ....nyanya moja 300/400 huku kwetu cha bei rahis ndimu tu sh 100
 
Kwa upande wa mchele hilo lilitegemewa kutokana na Ukame wa mwaka jana sehemu kubwa ya nchi
Mwaka huu utashuka sana Hali ni nzuri
Tunasubiri jua tu uanikwe
Ukame uluosababisha mahindi yawe mengi kiasi cha kushuka kwa bei yake....
 
Tumieni nazi na mawese, mbona ni mafuta safi tu! Hayo mnayong'ang'ania ndo hayo hayo yanasababisha magonjwa ya moyo.
Nazi yenyewe bei gani? Kwa matumizi ya ndani siyo inshu hata chukuchuku tutakula,sasa kuna watu wanafanya biashara ya mandazi, wanauza samaki,mikate,chapati,mama ntilie n.k unafikiri wanaendesha vipi biashara zao?
 
Nini sijui imeshuka toka asilimia 6 hadi 3.8 asilimia.
Aa wapi. Mafuta ya magari yakipanda bei kila kitu kinapanda bei automatically, kwa sababu vyakula vinahitaji kusafirishwa kutoka shambani kwenda mjini kwa walaji wakuu. Huo mfumuko wanaoaema umeshuka ni magumashi tu
 
Back
Top Bottom