Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Huyo binti yuko bomba sana inaonyesha wazazi wake wamemlea katiza mazingira ya kidini maana ni msafi na anajistiri sana katika mavazi toka yuko shule.

-Ndumilakuwili-
Ndo inavyokuwa Mkuu kizuri kinajiuza kibaya kinajitembeza au huoni humu manungaembe walivyojaa na thread za ajabu kila kukicha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…