Hatimaye Abdul Mohamed(Azam Sports) afunga ndoa na DC wa Pangani

Ndoa za mastaa huwa hazidumu na dini yenyewe talaka ni ruksa wakichukua miaka 3 Mungu anajua
Mwaka mmoja wenyewe umewashinda!tayari chali nasikia jamaa kiwembe na kazaa nje ya ndoa pia nishida.
 
Utabiri kama huu unaufanya kwa bei gani?
 
Hahahah uko mke ana zali kaachika Azam kavutwa na Kijana wa Maji.
Huyo aliyemuowa na huyo mwanamke wote wamekutana pipa na mfuniko,ingekuwa mimi siowi mwanamke aliyeachika mume akiwa hai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…