figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
ok.🐒Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.
Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.
Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.
Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..
Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
Konyook.🐒
Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.
Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.
Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.
Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..
Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
Wawajibike kwanza waliodhamini na kuchochea.Kilichofanyika October 29 ni mtu mpumbavu tu anayesema eti tusahau bila ya kuwajibishwa mhusika
Sasa kama hayo yote yanajulikana yanini kutumia pesa nyingi kwaajili ya hizo tume?Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
Wewe mbona haukuwa miongoni mwao hao waliochochewa?Wawajibike kwanza waliodhamini na kuchochea.
Mzanzibari aliamua kuagiza Watanganyika wauawe ili yeye aendelee kuwa madarakaniTanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.
Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.
Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.
Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..
Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
Huu sio wimbo wa kukumbuka watu ambao waliuawa kikatili. Those brothers and sisters didn’t die of natural causes!Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza kutunyamazisha sisi wapigania haki. Mtatuua leo, wenzetu kama sisi wanazidi kuzaliwa.. Hamtatumaliza.
Hakuna jinsi ya kujitetea sababu ya kutoa mtu uhai. Unamwaga damu ya mtu kisa cheo. Unaua watoto wetu.
Na kwa taarifa Nyimbo za maombolezo zilishatungwa bado kuingizwa mtaani.
Wazanzibar wana kazi ngumu ya kukataza watu kuongelea. Vitisho vimefeli..
Mumua mumechoka.. Bado damu za watoto wetu zinawalilia nyie Wazanzibari wote ambao mlihusika kuua ili Samia aingie madarakani.
View attachment 3674508
We kweli mwehu, unaambiwa watu wamepigwa risasi wakiwa majumbani mwao, je nao walikuwa wakiandamana?Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
Mbona labda labda nyiiingi, tushike lipi ndg chawa?!.Iishe isiishe mtajua wenyewe lakini hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu, wachome vituo vya polisi (usalama wa wanyonge), waharibu Mali za umma kisa wao kama wao hawampendi aliyeelekea kushinda.....kisa wao chama lao lilibugi kwa kujitoa kwenye uchaguzi hivyo "tukose wote", kisa chuki ya kidini, kisa uzanzibar, kisa mwanamke, kisa maria na mange wameagiza hivyo na upuuzi upuuzi mwingine mwingi.
Naamini serikali haichoki na haitokaa ichoke kuilinda watu wake.......ipo tayari kulikabili hata maisha yote mkiamua iwe hivyo.
Na bado. Wakileta kiherehere tena itakuwa zaidi ya hiyo Oktoba, 2025.Mbona labda labda nyiiingi, tushike lipi ndg chawa?!.
Walikuibia nini Mkuu? Halafu uliambiwa adhabu ya mtu aliyeiba ni kumpiga risasi? Mahakama zipo za kazi gani?hakuna serikali yoyote itaacha kundi la wahuni waibe Mali za watu, wapore Mali za watu,
Mpumbavu mkubwa we. Hujui unachoongea, nimchekee anayekuja na panga, mawe, visu Huku akipora bunduki?!!!!Walikuibia nini Mkuu? Halafu uliambiwa adhabu ya mtu aliyeiba ni kumpiga risasi? Mahakama zipo za kazi gani?