PostGE2025 Hatimaye Afande Sele awakumbuka Waliouliwa 29.10.2025 kwenye Miaka 30 ya Bongo Fleva

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Damu za WaTanganyika zaidi ya 518 ni nyingi sana kuliko zile za Wazanzibari 35.
Damu za WaTanganyika zitasumbua kwa miaka mingi zaidi.
Kuviziana! Visasi! Uasi! Ni dhahiri kama juhudi makini za kuleta umoja na kuimarisha Muungano zitapuuzwa!
 
Mpumbavu mkubwa we. Hujui unachoongea, nimchekee anayekuja na panga, mawe, visu Huku akipora bunduki?!!!!
Kwa hiyo wale watekaji wanaokuja na silaha, magari ya serikali na pingu washughulikiwe kwa style hizo hizo? Si ndiyo?
 
Umeambiwa na nani, mange?!!!!
Hivi wewe, si ndio ulionesha kutubu humu. Ukishakuwa CCM unakuwa umeshafitinika mbinguni na duniani. Wewe umeshaona wapi Mungu anakubatia wizi, ulaghai na ula rushwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…