HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Jose jose wewe lini mkuu???Kila la heri kwake..Mungu amjalie ndoa njema
[emoji1] [emoji1] [emoji1]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Msanii wa njimbo za injili kama upendo wa kweli...Ni nani huyu?
Kumbe ni matunda ya kazi ya bwana?Msanii wa njimbo za injili kama upendo wa kweli...
Yah...mkuu nabarikiwa na nyimbo zina ujumbe mzuri jaribu kuzifuatilia utambueKumbe ni matunda ya kazi ya bwana?
ndani ya miaka mi5 ijayoJose jose wewe lini mkuu???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Mimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.Yah...mkuu nabarikiwa na nyimbo zina ujumbe mzuri jaribu kuzifuatilia utambue
Mungu akutangulie ila miaka mitano mingi[emoji1] [emoji1] [emoji1]ndani ya miaka mi5 ijayo
[emoji1] [emoji1] Hapana zinakupa hofu ya Mungu uendelee kumtumikia na kujua duniani wewe ni mpitaji tuMimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
Mungu hayupo, kama yupo thibitisha.[emoji1] [emoji1] Hapana zinakupa hofu ya Mungu uendelee kumtumikia na kujua duniani wewe ni mpitaji tu
Baadae akija kuchefua hali ya hewa hawakawii kusema mnyarwandaBwana Yesu apewe sifa....
ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzaniakama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..
Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"
[emoji15] [emoji15] [emoji87] [emoji87]muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema