HERUFI KUBWA
JF-Expert Member
- Aug 10, 2017
- 388
- 602
Bwana Yesu apewe sifa....
Ule msemo usemao kelele nyingi zina mshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzania
Kama(upendo wa kweli na siku moja) Ambwene Mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..
Kiukweli Ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"