wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ni kweli mkuuKumbe ni matunda ya kazi ya bwana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuuKumbe ni matunda ya kazi ya bwana?
Hivi kweli mnataka kuniambia hawajawahi kugegedana hadi wafunge ndoa??Bwana Yesu apewe sifa....
ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzaniakama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..![]()
Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"![]()
Kisheria ya biblia haitakiwi mpaka ndoa ila kwa watu wa sasa wanabadilisha uo mtazamo...kuhusu ambwene anajua yeye ya moyoni mwakeHivi kweli mnataka kuniambia hawajawahi kugegedana hadi wafunge ndoa??
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Baadae akija kuchefua hali ya hewa hawakawii kusema mnyarwanda
Sipendi ubishani wa dini...ila Mungu akusaidie kwa huo mtazamo wako...siku utakapokuja kutambua ukweli naomba usiwe umechelewa na pia sijui kitu kinakufanya umlingie Mungu na kumuona hayupo.....Mungu hayupo, kama yupo thibitisha.
Sema jingine.
Mkuu yaani kachukua chombo lazima watu wa Mungu wachukue vyombo vizuri kabisa hata usitamani kuchepukaHongera zake huyo binti mzuri.
-Ndumilakuwili-
mkuu changamkia fursa hahandani ya miaka mi5 ijayo
hebu tuwaachie wenyeweUna maana miaka yote alikuwa ana Fanya zinaa Tu. Halafu hako Ka binti kanaonekana kajanja hakaendani na huyo jamaa
Nimekuelewa mkuuKisheria ya biblia haitakiwi mpaka ndoa ila kwa watu wa sasa wanabadilisha uo mtazamo...kuhusu ambwene anajua yeye ya moyoni mwake
Hupendi ubishani wa dini wakati unabishana kuhusu dini tayari kwa kujiwekajuu kwamba unamjua Mungu na kuniombea Mungu anisaidie?Sipendi ubishani wa dini...ila Mungu akusaidie kwa huo mtazamo wako...siku utakapokuja kutambua ukweli naomba usiwe umechelewa na pia sijui kitu kinakufanya umlingie Mungu na kumuona hayupo.....
Kula like ya position yakoKila la heri kwake..Mungu amjalie ndoa njema
Huyu dada si Tuntufye jamani au namfananisha jamani!!!Bwana Yesu apewe sifa....
ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzaniakama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..![]()
Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"![]()
C walisema amekufa kwe ajali ile ya ubungo huyuJose jose wewe lini mkuu???
usiwaze aseehmkuu changamkia fursa haha