Scale
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 2,116
- 2,616
Ha!muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
Mpaka hapo mgegedo tayari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha!muda si mrefu anaanza kula vyombo ....namtakia mgegedo mwema
MWIMBAJI wa nyimbo za INJILI na SIO MSANII wa nyimbo za injiliMsanii wa njimbo za injili kama upendo wa kweli...
[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
Kwa huo msambwanda siwez subilia had tufunge ndoa lazima ni test mitambo aseeHivi kweli mnataka kuniambia hawajawahi kugegedana hadi wafunge ndoa??
Bwana Yesu apewe sifa....
ule msemo usemao kelele nyingi zinamshindo mkuu...hatimaye mwimbaji pendwa wa nyimbo za injili Tanzaniakama(upendo wa kweli na siku moja) ambwene mwasonge ametangaza uchumba na muda si mrefu ataingia kwenye ndoa..![]()
Kiukweli ambwene amechukua chombo kizuri sana kama biblia inavyosema "apataye mke na kapata kitu chema"![]()
Hivi huyu mdada ni msanii nae au...kma sura sio ngeni hiviMkuu yaani kachukua chombo lazima watu wa Mungu wachukue vyombo vizuri kabisa hata usitamani kuchepuka
Hebu muangalie mara ya pili mkuu hichi kifaa hatari...Mbona ni Mwanamke wa kawaida sana ukilinganisha na Mademu zangu wote niliofanyana / ngonoka nao huko nyuma?
Inawezekana anaitwa jacquline walterHivi huyu mdada ni msanii nae au...kma sura sio ngeni hivi
Hebu muangalie mara ya pili mkuu hichi kifaa hatari...
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
Hiyi ni lazna mkuuKwa huo msambwanda siwez subilia had tufunge ndoa lazima ni test mitambo asee
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo dada anaitwa Jackline Walter Mushi, kwao ni kiluvya. Amemaliza Mzumbe (mbeya campus)
Mmmh!huyu hawezi kuwa mchaga pyua kwa shepu hyo!!hapo lazima mama sio mchaga[emoji2] [emoji3] [emoji4] [emoji12] Povu linaruhusiwa watani zangu wachaga!Huyo dada anaitwa Jackline Mushi, kwao ni kiluvya. Amemaliza Mzumbe (mbeya campus)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mdogo unamaanisha ni under 18 au?Hongera yake.
Ila binti anaonekana mdogo sana.