Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Toa neno tatizo hapo hatutafuti miss world !huyo mtoto kama physical wife material kuzaa mbegu nzuri za watoto na 100% mgegedo murua yuko safi sana ready to loose me leg to have such a woman as a wife!tatizo ufupi kwani nataka mchuma karafuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Preferences zinatofautiana mkuu, i guess you know that.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asije akasahau kutuimbia tunyimbo tuzuri tuzuri...maana wakioa wanapotea kabisaaa!!
 
Preferences zinatofautiana mkuu, i guess you know that.

Sent using Jamii Forums mobile app
When you are looking for a wife hayo mambo ya muonekano wake huwa hayatiliwi maanani kwa tuliooa tunafahamu asilimia 99 hatujaowa our dream girls linapokuja suala la kuoa mwanamme unachanganyikiwa na mwanamke yeote yule, kwenye matamanio /michepuko unaweza sema nataka demu mrefu /mfupi /mwembamba mnene nk lakini inapojuja wife material kuna sifa zingine za msingi kujali ,imani uelewa na mambo mengine tu amabyo moyo na akili vinayajua sio macho na mikono!Kabla sijaoa nilikuwa team warefu lakini wife wangu si mrefu na ana m resemble mcumba wa jamaa asilimia nyingi tu (ki ungwana na admit moja ya sababu ya povu langu mkuu i have a first hand knowledge ya wanawake wa physique ile)
Sijui mkuu wewe unanyongeza ipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
uyo binti ameokoka? maana kama hajaokoka kwakweli inahitajo ujasiri
 
If you dont stand for something, you will fall for anything.
Tukianza kupeana elimu ya mapenzi, mahusiano na ndoa hatutomaliza hapa maana tunatofautiana mitazamo, itikadi, misimamo na background.

I agree with u lakini hayo ni maoni na uzoefu hatujui the general public kwa ujumla wao wanalichukuliaje suali hili la wenza wetu pale inapokuja kuchagua ni physique ya mtu au mambo yanayo mtofutisha na wengine kama haiba hulka silka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa makini na kauli zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndiye huna umakini kwa kuwa unafanya censorship kwa watu wanaohoji dhana za kijinga.

Mungu hayupo. Kama unasema yupo thibitisha.

Unaweza kuthibitisha kwamba wewe uko makini kwa kuthibitisha kwamba Mungu yupo?

Au unataka kuleta umakini usio makini hapa?

Sent from my Kimulimuli
 
Back
Top Bottom