ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Biblia inasema mwanaume mwenye umri wa 35 aoe mwnmke mwenye umri wa 25Hongera yake.
Ila binti anaonekana mdogo sana.
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia inasema mwanaume mwenye umri wa 35 aoe mwnmke mwenye umri wa 25Hongera yake.
Ila binti anaonekana mdogo sana.
Huyo mtoto ni ana shepu na mzigo wa maana..tatizo moja ni mfupi wa kimo, ila ni mzuri sana yaniMmmh!huyu hawezi kuwa mchaga pyua kwa shepu hyo!!hapo lazima mama sio mchaga[emoji2] [emoji3] [emoji4] [emoji12] Povu linaruhusiwa watani zangu wachaga!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri muangalie na nyakati pia, i think you know what i mean.Biblia inasema mwanaume mwenye umri wa 35 aoe mwnmke mwenye umri wa 25
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Au.
Toa neno tatizo hapo hatutafuti miss world !huyo mtoto kama physical wife material kuzaa mbegu nzuri za watoto na 100% mgegedo murua yuko safi sana ready to loose me leg to have such a woman as a wife!tatizo ufupi kwani nataka mchuma karafuu?Huyo mtoto ni ana shepu na mzigo wa maana..tatizo moja ni mfupi wa kimo, ila ni mzuri sana yani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni ivyo basi hakuna haja ya kufata maandiko ya biblia maana si ya nyakati zetuNafikiri muangalie na nyakati pia, i think you know what i mean.
Waliandikiwa hivyo watu gani na kwa nyakati gani?
I think you still have alot to learn about the Bible.Kama ni ivyo basi hakuna haja ya kufata maandiko ya biblia maana si ya nyakati zetu
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Haya.
Ko ulitakaje mkuuMbona ni Mwanamke wa kawaida sana ukilinganisha na Mademu zangu wote niliofanyana / ngonoka nao huko nyuma?
Mimi nikisikia nyimbo za dini zinanikumbusha kufakufa tu sitaki habari hizo.
Hakuna Mungu. Ndiyo maana zinachefua zaidi.haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhh! zinaogofya !biblia ndo zaid nikikumbuka hayo maadhabu yake sasa hahahaha nabak mdogooooo!
ALLAH/MUNGU atusamehe na madhambi yetu kwakweli !
Una maana miaka yote alikuwa ana Fanya zinaa Tu. Halafu hako Ka binti kanaonekana kajanja hakaendani na huyo jamaa