Hatimaye Ambwene Mwasonge amuweka hadharani mke mtarajiwa

Hivi kweli mnataka kuniambia hawajawahi kugegedana hadi wafunge ndoa??
 
Wimbo wake wa upendo unanifanyaga kutafakari sana...ni mzuri

Kila laheri kwake
 
Sipendi ubishani wa dini...ila Mungu akusaidie kwa huo mtazamo wako...siku utakapokuja kutambua ukweli naomba usiwe umechelewa na pia sijui kitu kinakufanya umlingie Mungu na kumuona hayupo.....
Hupendi ubishani wa dini wakati unabishana kuhusu dini tayari kwa kujiwekajuu kwamba unamjua Mungu na kuniombea Mungu anisaidie?

Wewe hujui spelling za Kiswahili, hujui "mringie" from "mlingie" ndiye unataka kunifundisha habari za Mungu mimi?
 
Huyu dada si Tuntufye jamani au namfananisha jamani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…