Hatimaye Anerlisa asaini Hati ya Talaka iliyowasilishwa na Ben Pol Mahakamani

Kwa kweli
Kwamba yeye huyo dada ni kimbilio la wakosefu??[emoji1787]
Mwanaume kama huyo hastahili kunusisha hata pua yake kwa huyo mwanamke.
 
Hahaah ila kweli
 
Hizi sheria za TZ bwana mpaka mahakamani? hizi biashara zinatakiwa kuishia kwa wakili tu. hakuna haja ya ndoa za kupotezeana muda namna hii.
 
Life is too short to take bad wine.

Acha afanye kinachompa Furaha.

We never know alikuwa anapitia nini.

Mahusiano yana mambo mengi sana

Kuvunja mahusiano ya ndoa sio maamuzi madogo na yanaumiza sanaaaa... na ukiona imefikia hapo hiyo ndoa ilishakufaga na upendo wake wote

Inauma ila kwao Ben na Ane wamekua wakweli kwa nafsi zao na kuchagua amani ya mioyo yao

Mungu awape watoto wetu roho ya kuomba na kumshirikisha Mungu kwenye kuchagua wenza wao
 
Amen Dear.

Halafu the earlier the better.

Sio mnazaa na watoto ndo mnaanza friction kibao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…