sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Haujapenda kina dada kushirikiana?Mnazi wa dabiliyusibii.
Mungu ni mwema Zuchu atamtoa Anjela.anawajua wasafi anawasikia...? labda wamuonee huruma ila wampe collabo aisee nae aende mjini namuombea ngoma iwe kali aisee
Anjela hakuna msanii mule, yaani amekuwa maarufu kwenye ishu nyingine kuliko muziki, iitamchukua miaka mingo sana kutoa heat song, Hana tofauti na juxKila mtu ana ndoto zake na malengo yake.
Anjela msanii aliyekuwa konde gang wakashindwa kumpa huduma muhimu akasepa, ndoto yake kubwa ni kufanya kolabo na msanii wa kike namba moja east africa Zuchu.
Leo baada ya kuelezea namna atafurahi akitimiza ndoto yake hii, Zuchu alimpa go ahead ya kutuma wimbo ili wafanye collaboration.
Watanzania kama kawaida yao wameshatabiri itakuwa the best collabo kuwai kutokea kwa wasanii wawili wa kike hapa east africa.
All the best Anjela na Zuchu.