Hatimaye bondia kutoka Ufilipino avalishwa gloves zenye rangi ya bendera ya Tanzania ya jiwe Tanzania ya viwanda

Kwenye ngumi. Za kichwa ndo zahesabika. Za tumbo hazihesabiki na mikononi. Wanapiga tumbo ili uachie kichwa
 
Yaani wamejitahidi kuandaa kila kitu hawakuandaa gloves wakati wa maandalizi ya game,imetia doa kidogo,kumbe ndiyo maana upande wa Mwakinyo walikuwa wengi sana ila wamalize ulozi wao
 
Dah. Yani natamani nikutukne tuthi ambalo hukuwahikulihisi. Ila basi baki nab upuuzi wako
 
Waandishi wa Azam wanoko Sana. Wamenikera na mikamera yao kusabibasha ulozi udhalilike hadharani
 
Mfilipino Kapigwa Ngumi Nyingi Usoni Na Ndo Zenye Pointi Arifu.
Hapo ndio wengi hawajui mkuu wao wanadhani ngumi za tumbo na, zilizopanguliwa zina point. Ila kuna Bondia anaitwa kiduku kutok Moro aisee huyu atakuja kuwa bondia hatari sana kama atapata usimamizi mzuri, maana ni mwepesi na anapiga ngumi kama mvua.
 
Nakumbuka vizuri lile pambano lake na muagentina lililopigiwa Kenya, nami niliona kama jamaa hana kasi sana, ila ninaamini kwa umri wake, ana mengi ya kujifunza na huenda akawa bora sana huko mbeleni, tumpe muda na sapoti yetu atafika tu.
 
Mwamuzi kukata ile tape kwa meno ni kituko sanaaaa
 
Mfilipino hajaja kutafuta ushindi amekuja kusaidia ku promote ngumi tz. Hamjaelewa wapi lakini bandugu
 
Koma wewe. Angekuwa habebeki angepugwa KO au TKO
 
Kashinda kwa points .....
mfiluoino kapigwa ngumi nyingi za kicha nenda yutube hesabu.....
lete majibu
Inawezekana we ni mtaalamu zaidi,hizi points wewe unaona majaji walikuwa sawa kabisa?
Aliyetoa 96/96 pekee ndiye msema kweli,hao wengine wamefanya kizalendo zaidi,angeshinda kwa points 2 au 3 sawa ila hapo ni uongo wa wazi hata kama wewe ni lecturer wa chuo cha boxing

Jaji wa kwanza amtoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.
 
Sio utani, tuache upendeleo. Na sometimes uzalendo weka pembeni, MFILIPINO KASHINDA...!!! Ule ushindi umepikwa laivu yan...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…