Elon SpaceX
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 127
- 259
Pambano kati ya Mtanzania Hassan Mwakinyo na Mfilipino Tinampay limemalizika vizuri, ambapo Mwakinyo ameshinda.
Tumpongeze kwa kuendelea kuipeperusha vyema bendera ya nchi, na Watanzania tupo nyuma yake tuache majungu, kejeli na fitina kuwa Mwakinyo kapendelewa.
Hongera champion!
Tumpongeze kwa kuendelea kuipeperusha vyema bendera ya nchi, na Watanzania tupo nyuma yake tuache majungu, kejeli na fitina kuwa Mwakinyo kapendelewa.
Hongera champion!