Elon SpaceX
Senior Member
- Jul 26, 2019
- 127
- 259
Kwa suala la kupigwa mwakinyo kapigwaila kwa issue ya point mwakinyo kapata point nyingi maana ana ngumi nyingi ambazo amepiga usoni kuliko mphilipino
Hakudondoshwa kwa punch.ukidondoshwa ndio mshindi
Marekani hawajatoa tamko?Hahaha meza imepinduliwa
Hakudondoshwa kwa punch.
Alikwepa. akakosa balance, akasukumwa kidongo akateleza na kuanguka ndio maana hakuhesabiwa hadi 10 na refa.
Hii ni chuki kwa mbongo mwenzenu au hamjui boxing?
Kachezea ila point kachukuwa Home boy nadhani ilikuwa raundi ya 7 Mwakinyo alifanya makosa KO ilikuwa nje nje kelele zote zingeisha.Nikweli unachosema, ila nawewe inabidi ukubaliane na perception yetu kwenye gemu la leo
Mchizi kachezea vikombe tuache masihara
Ww utakua ccm wewe mwakinyo kabebwa
Mleta mada hujui mchezo wa ngumi kaangalie marudio kisha uje utoe huu uchafu wako.
Ngumi za mfilipino zilikuwa hazina maana yoyote ile katika pointi, pia tizama ngumi za mwankinyo zilikuwa zinalenga kichwani.
Ngumi sio kupiga piga tu ili mradi, kuna maeneo muhimu ya kupiga.
Badala ya kuwa john cena akawa usain bolt😀Ameshinda kiana aina.......muda wote anakimbia kimbia tu