Hatimaye bondia kutoka Ufilipino avalishwa gloves zenye rangi ya bendera ya Tanzania ya jiwe Tanzania ya viwanda

Pongezi kwa serikali ya awamu ya tano kwa ushindi wa bondia Hassan Mwakinyo.
 
mkuu soma mada vizuri ...nilipost kabla ya pambano mkulungwa
 

Kweli kabisa, watu hawataki kusema ukweli
 
Nakumbuka vizuri lile pambano lake na muagentina lililopigiwa Kenya, nami niliona kama jamaa hana kasi sana, ila ninaamini kwa umri wake, ana mengi ya kujifunza na huenda akawa bora sana huko mbeleni, tumpe muda na sapoti yetu atafika tu.
Yah! Muhimu akubali kujifunza zaidi na zakdi. Arekebishe makosa yake nadhani kambi yake inapaswa kurekebisha makosa haya kabla ya pambano jingine, sababu anavyoshinda anazidi kupanda, atakutana na mabondia wa viwango vya juu zaidi makosa kama haya atakuwa anaambulia vipigo tu.
 
Watanzania wengi tu wajuaji ila hatujui. Pambano la ngumi hawahesabu ngumi za tumbo na mikono
 
Sisi tulioanza kufuatilia ndondi enzi za kina George Lister Sabuni, Koba Kimanga, Joseph Marwa, Rashid Matumla, Mbwana Matumla, Maneno Oswald "mtambo wa gongo", Hassan Matumla, Haji Matumla, Mzonge, Michael Yombayomba ni dhahiri huyu bwana mdogo anatudanganya
 
Sijawahi kuwaelewa Wabongo 99.5% ni majitu ya hovyo, majuaji na yasiyopenda vya kwao ni malimbukeni sana.

Big up Mwakinyo umefanya vema sana.
Ndugu yangu wala usipate tabu ..boxing inamakundi na kunawatu hata mwakinyo angefanya vizuri vipi bado wangesema kapendelewa. Kumbuka walikuja hapa na kusema Tinampay ni bondia mchovu hivyo wamemtafuta aje ili kumpaisha mwakinyo, leo gemu limekuwa zuri wanasema tena Mwakinyo kashindwa. Mimi binafsi najua kunawatu wa makundi mengi ya boxing wanachuki sana na mwakinyo kwa yale mafanikio ameyapata. Niseme tu walimbeza sana myweather alipopigana na pac na nikwasababu wanafikiri kurusha mangumi mengi ndio ushindi. Watanzania muache chuki pindi mnapokuwa hamjapata nafasi fulani kama za wenzenu..hiyo itawasaidia kupata maendeleo. Linapokuja suala la taifa tuwe pamoja..ni mambo ya ajabu sana ya watu hawa.
 
Kabisa mkuu, anatakiwa atafute makocha bora na watu sahihi wa kumuunga mkono apate kutimiza ndoto zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…