jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Si kila sheli utaweka mafuta tu.Tatizo sugu lilikuwa ni nini mkuu?
Kwanini unaliita jini? Linakula Sana mafuta au shipa ....Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo
Maneno ya watu ni mengi Sana nduguuuu na wengine hawana hata baiskeli lkn ujuaji, haya magari ya kijerumani ukiweza masharti yake hayana tabu hata kidogoSi mlitoa uzi hapa hapa juzi kuwa bmw zimetelekezwa gereji?
Nunua gari, tujumuike kuyajadili hapa.Ndio tatizo la kuja mjini ukubwani.
[emoji1]nimecheka sana.Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo
Sure babeNunua gari, tujumuike kuyajadili hapa.
Adrea hiyo "babe" ni typing error au umekusudia??Sure babe
Uwa nalitamani kwa familia lile dude. Kimbe hatari. Kuna mshikaji alikua nalo tukatoka Dar to Dodoma. Mi nilikua abiria. Nilienjoy sana kule seat za nyuma.Si kila sheli utaweka mafuta tu.
Usirogwe kuweka mafuta ya kidebe sjui lita 5 au ya buku 10 sjui
Service yake ikifika hela utayoweka mezan ni ya kununua boxer used
Spear ndo unaweza ifunika na turubai
premio mbna umeiacha...nasikia ni gari nzuri na kuimudu pia sio ghali sana tofauti na crownKama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?
mbali na kupondwa sana na wadau Dualis zimeongezeka sana aiseeeKuna BMW 3 series, 1 series, X3 na X1 nyingi sana siku hizi.
Pia Dualis nahisi ni upepo itapita.
Benz bado chache barabarani.
unamaanisha alphard ni jini ama sjakuelewa?Nmetoka jana kulivua hilo jini dah nabak zangu toyota jpo niliyemuuzia kajiona mjanja kunivuruga bei ila kma maisha yke ndo yale nahakika miez 5 hatoboi nayo
Ist na run x mnakula tu maishaIST tunawacheck tu alafu tunacheka sana..[emoji1][emoji481]
Mtoto wangu akikuta IST imepaki ananiambia baba nnunulie gari ya toto [emoji1787]IST tunawacheck tu alafu tunacheka sana..[emoji1][emoji481]
Haha E90 ile Mil 15 unapata kutoka JP.
Watu hawaogopi tena BMW sikuhizi zipo nyingi Sana barabaran hasa BMW 320i
Sitaki ata kuisikia.15 nyingi sana.
12 M unapata from Japana ya around 2005 na unatamba vile vile.
Kasheshe: Kuitunza
Kabla ya pongezi,chunguza na bei ya petrolKama ilivyotabiriwa gari tajwa zimepotea kabisa barabaran na Sasa vijana Ni mwendo wa RUMION, SUBARU na CROWN. Kidumu Chama cha Mapinduzi Kwa Neema hii ya fursa Kwa wote. Vijana tupewe nini Tena?