Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

Hatimaye BREVIS na Altezza zimepotea barabarani

Si kila sheli utaweka mafuta tu.

Usirogwe kuweka mafuta ya kidebe sjui lita 5 au ya buku 10 sjui

Service yake ikifika hela utayoweka mezan ni ya kununua boxer used

Spear ndo unaweza ifunika na turubai
Uwa nalitamani kwa familia lile dude. Kimbe hatari. Kuna mshikaji alikua nalo tukatoka Dar to Dodoma. Mi nilikua abiria. Nilienjoy sana kule seat za nyuma.
 
Back
Top Bottom