miAFRICA ni miJITU miPUMBAVU sana inapoishiwa Hoja inahamia kwenye uDINI na UKANDA [emoji16] [emoji16]Kwa taarifa tu mkuu, kuboreshwa kwa Uwanja wa Mwanza lilikuwa wazo miaka ya 80 wakati waziri wa maliasili na utalii akiwa Jetrude Mongela- Wakaskazini wote ndani ya utumishi wa serkali na Umma wakaupinga na kuhakikisha kuwa Mongela anaongolewa wizarani hapo na KIA ikajengwa badala yake. Sasa leo hao hao wa KASKAZINI wanakuja na oho CHATO huu ni muendelezo wa siasa za kuchafuana, uchanguzi wa 2015, na maandalizi ya uchaguzi wa 2020. Kutesa kwa zamu- wacha kanda ya ziwa nao watese- na wanahasira na KASKAZINI
WATU WA USALAMA HAWAWEZI KUKWEPA LAWAMA ZA KUMUACHA SAULI HADI AMEGOMBEA ....HUYU ANGECHUJWA .....kama akiwa waziri tu alihamisha barabara, akainfluence kumegwa wilaya toka Kagera ......na kuwa makao makuu ya wilaya kwenye nyumba "zake"[ akiwa ameagiza zijengwe nyumba ili ziwe makao makuu ya wilaya ]......isitoshe tu hiyo kuweka traffic lights sehemu ambazo hata hizo gari za kuhesabu ....Acha ushabiki usiokuwa na tija. Chato haihitaji airport kubwa hivyo, ingewekewa airstrip tu kama ile ya buzwagi kahama ingefaa kabisa mkuu akitaka kwenda kwake anatua vizuri tu. Ulishafika chato? Kaangalie kioja cha traffic lights za chato, gari ni za kuhesabu, inabidi ziongoze mikokoteni inayovutwa na punda, sasa kwa usawa huo hao wasafiri wa kupanda ndege hapo watatoka wapi? hakuna biashara kubwa chato au kivutio chochote cha utalii!!! Mbaya zaidi hata sehemu zinazoizunguka chato ziko hoi kiuchumi!!! Itazame biharamulo, bwanga, buziku , ngara, muleba, hao abiria watatoka wapi? Nakuhakikishia hakuna shirika la ndege litapeleka ndege zake hapo kwasababu hakutokuwa na abiria, itakayotua hapo ni ndege ya Rais tu, na akistaaf ndo ujue utakuwa mwisho wa matumizi ya uwanja huo. Uzalendo uko wapi kwenye mradi huu??
Mangapi waliyasimamia Mkashindwa kuwaunga Mkono zaidi ya kuwakejeli tuKwani
Wabunge wa Upinzani na Community yote ya Wapinzani mbona wamekaa kimya? Yetu macho na masikio. Hivi hapo Chato kila mkazi ana Maji safi ndani, hospital, shule,Na nyumba bora?
Wapinzani wanatoka Sayari gani?,,.ikiwa wewe uko nyuma ya KeyboardHakuna upinzani Tanzania
Nchi yenye upinzani Rais JPM asinge jenga Airport kwao na kubaki salama
Asingetafuna hela za rambirambi na kubaki salama
Asinge simamisha ajira na abaki salama
Lema asinge kaa jela kwa miezi mahabusu kwa kosa la kipuuzi kama hili
CHADEMA ndiyo wame ua upinzani na sasa we pay heavy price
Tunyooshe Magufuli
Umelala bado? [emoji41][emoji41][emoji41]Mi namlaumu kikwete kwa kutuletea Rais kama huyu, bora hata angekuwa migiro mara 100
Wewe ndio una uwezo wa kupanda ndege siyo?Ni watz wenzetu lkn je wanauwezo wa kupanda ndege?
Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport in northern Tanzania that serves the cities of Arusha and Moshi. ... The airport bills itself as the "Gateway to Africa's Wildlife Heritage"je ni kweli Wildelife heritage iko mOSHI na Arusha tu?Watu wanaharibu mjadala na ku provoke ukanda wakati ....hawajui historia ...UWANJA WA NDEGE WA KIA UMEKAMILIKA 1967 kwa maslahi ya Taifa letu changa kuhakikisha watalii wanafika kupanda mlima ..na pia kutoa ushindani na kuacha utegemezi kwa viwanja vya Nairobi
Ukarabati wa uwanja wa KIA ni kwa mkopo nafuu wa serikali ya Netherland ambao ndege zao za KLM ndio kati ya watumiaji wakuu wa uwanja huo kuleta watalii na kubeba mauwa .........wenzetu hawato hivi hivi ..
KADCO pia management yake intake Netherland so hiyo connection nyingine .......kampuni inayojenga uwanja pia ni ya Netherland
Uwanja wa Mwanza umevutia serikali ya KUWAIT kutoa mkopo na serikali YETU inatakiwa kuchangia sehemu yake ili uwanja uishe ...sasa hiyo pesa ya chato kwanini wasinge push kwanza mwanza ukalimilike na angalau songwe ..
Dharura pekee inayokubalika ni ya dodoma airport .......lakini pia kwakuwa ni mpango wa muda mfupi nguvu wangeweka MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT [proposed]
Hao funza uliowafuga kichwani kwako ni wabaya kwa afya yako na jamii inayokuzunguka.Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport in northern Tanzania that serves the cities of Arusha and Moshi. ... The airport bills itself as the "Gateway to Africa's Wildlife Heritage"je ni kweli Wildelife heritage iko mOSHI na Arusha tu?
Chato
Chato town, population = 17,508. Chato district population = 365,000
Economic activitiy = nothing significant apart from subsistence farming which depend on rain. Contributes less than 1 percent to the GDP.
Tourist attractions = none
At the same time Songwe airport, the main airport serving the southern highlands, an area with more than 5 mil people and also being the bread basket of Tanzania doesn't have runway lights till today!
Mwanza airport yenyewe upanuzi wake has been going on at such a slow pace for the past 2 years and at times even stalled!
We are willing to spend billions on someone's vanity project ambayo will generate nothing in return and adds little value, lakini tunaache sehemu where the money would have been better spent.
A small airport would have been fine, lakini sio kujenga an airport with a runway that could almost "rival" JNIA, at a town/district with a population lower than some suburbs in Dar.
Someone needs to look at themself in the mirror and reevaluate the choices they have been making so far.
Ta Kamugisha hawa watu wengine wanafikiri international airports, viwanja vikubwa vya mpira, hospitali za rufaa n.k ni vya watu wa majiji tu, vikijengwa mikoani ni kuharibu fedha,Ikiwezekana hata uwanja wa mpira wa kisasa pale kwa Mazaina
Wa kupanda wakuwepo kivipi bila hizo Boeing kuwepo?Hakuna mtu wa kupanda Boeing au bombardier Chato wewe labda apande yeye na familia yake.
Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport in northern Tanzania that serves the cities of Arusha and Moshi. ... The airport bills itself as the "Gateway to Africa's Wildlife Heritage"je ni kweli Wildelife heritage iko mOSHI na Arusha tu?
Hivi uwanja wa Mwanza umesimama...?!Mbuga ziko sehemu nyingi hadi Selous .....kupanga ni kuchagua huo mwaka 1967 ulipojengwa wangeweza pia wakaamua kuujenga chato ...
kama ambavyo sasa tumechagua kumalizia wa chato kabla ya wa MWANZA
Wauni hawa hacha nao, unaweza sikia hata mungu ni wao peke yaoTa Kamugisha hawa watu wengine wanafikiri international airports, viwanja vikubwa vya mpira, hospitali za rufaa n.k ni vya watu wa majiji tu, vikijengwa mikoani ni kuharibu fedha,
nonsense!!
Hivi uwanja wa Mwanza umesimama...?!
Yanajitoa fahamu Kama
Wewe utakuwa ni mtoto wa uncle wako...watoto wa kuzaliwa kiaina hiyo mnakuwa na mambo ya ajabu ajabu.