Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Kwa taarifa tu mkuu, kuboreshwa kwa Uwanja wa Mwanza lilikuwa wazo miaka ya 80 wakati waziri wa maliasili na utalii akiwa Jetrude Mongela- Wakaskazini wote ndani ya utumishi wa serkali na Umma wakaupinga na kuhakikisha kuwa Mongela anaongolewa wizarani hapo na KIA ikajengwa badala yake. Sasa leo hao hao wa KASKAZINI wanakuja na oho CHATO huu ni muendelezo wa siasa za kuchafuana, uchanguzi wa 2015, na maandalizi ya uchaguzi wa 2020. Kutesa kwa zamu- wacha kanda ya ziwa nao watese- na wanahasira na KASKAZINI
miAFRICA ni miJITU miPUMBAVU sana inapoishiwa Hoja inahamia kwenye uDINI na UKANDA [emoji16] [emoji16]
 
Acha ushabiki usiokuwa na tija. Chato haihitaji airport kubwa hivyo, ingewekewa airstrip tu kama ile ya buzwagi kahama ingefaa kabisa mkuu akitaka kwenda kwake anatua vizuri tu. Ulishafika chato? Kaangalie kioja cha traffic lights za chato, gari ni za kuhesabu, inabidi ziongoze mikokoteni inayovutwa na punda, sasa kwa usawa huo hao wasafiri wa kupanda ndege hapo watatoka wapi? hakuna biashara kubwa chato au kivutio chochote cha utalii!!! Mbaya zaidi hata sehemu zinazoizunguka chato ziko hoi kiuchumi!!! Itazame biharamulo, bwanga, buziku , ngara, muleba, hao abiria watatoka wapi? Nakuhakikishia hakuna shirika la ndege litapeleka ndege zake hapo kwasababu hakutokuwa na abiria, itakayotua hapo ni ndege ya Rais tu, na akistaaf ndo ujue utakuwa mwisho wa matumizi ya uwanja huo. Uzalendo uko wapi kwenye mradi huu??
WATU WA USALAMA HAWAWEZI KUKWEPA LAWAMA ZA KUMUACHA SAULI HADI AMEGOMBEA ....HUYU ANGECHUJWA .....kama akiwa waziri tu alihamisha barabara, akainfluence kumegwa wilaya toka Kagera ......na kuwa makao makuu ya wilaya kwenye nyumba "zake"[ akiwa ameagiza zijengwe nyumba ili ziwe makao makuu ya wilaya ]......isitoshe tu hiyo kuweka traffic lights sehemu ambazo hata hizo gari za kuhesabu ....
Walikuwa wapi wasione hizi dalili za ubinafsi ....
 
Kwani

Wabunge wa Upinzani na Community yote ya Wapinzani mbona wamekaa kimya? Yetu macho na masikio. Hivi hapo Chato kila mkazi ana Maji safi ndani, hospital, shule,Na nyumba bora?
Mangapi waliyasimamia Mkashindwa kuwaunga Mkono zaidi ya kuwakejeli tu
 
Hakuna upinzani Tanzania
Nchi yenye upinzani Rais JPM asinge jenga Airport kwao na kubaki salama
Asingetafuna hela za rambirambi na kubaki salama
Asinge simamisha ajira na abaki salama
Lema asinge kaa jela kwa miezi mahabusu kwa kosa la kipuuzi kama hili

CHADEMA ndiyo wame ua upinzani na sasa we pay heavy price
Tunyooshe Magufuli
Wapinzani wanatoka Sayari gani?,,.ikiwa wewe uko nyuma ya Keyboard
 
Watu wanaharibu mjadala na ku provoke ukanda wakati ....hawajui historia ...UWANJA WA NDEGE WA KIA UMEKAMILIKA 1967 kwa maslahi ya Taifa letu changa kuhakikisha watalii wanafika kupanda mlima ..na pia kutoa ushindani na kuacha utegemezi kwa viwanja vya Nairobi
Ukarabati wa uwanja wa KIA ni kwa mkopo nafuu wa serikali ya Netherland ambao ndege zao za KLM ndio kati ya watumiaji wakuu wa uwanja huo kuleta watalii na kubeba mauwa .........wenzetu hawato hivi hivi ..
KADCO pia management yake intake Netherland so hiyo connection nyingine .......kampuni inayojenga uwanja pia ni ya Netherland

Uwanja wa Mwanza umevutia serikali ya KUWAIT kutoa mkopo na serikali YETU inatakiwa kuchangia sehemu yake ili uwanja uishe ...sasa hiyo pesa ya chato kwanini wasinge push kwanza mwanza ukalimilike na angalau songwe ..

Dharura pekee inayokubalika ni ya dodoma airport .......lakini pia kwakuwa ni mpango wa muda mfupi nguvu wangeweka MSALATO INTERNATIONAL AIRPORT [proposed]
 
Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport in northern Tanzania that serves the cities of Arusha and Moshi. ... The airport bills itself as the "Gateway to Africa's Wildlife Heritage"je ni kweli Wildelife heritage iko mOSHI na Arusha tu?
 
Hao funza uliowafuga kichwani kwako ni wabaya kwa afya yako na jamii inayokuzunguka.
 
Hili tukio, vizazi vyetu vijavyo vitabidi vifukue kaburi na kuihoji maiti kwanini ilichukua maamuzi hayo ya kuharibu rasilimali za watanzania kwa faida yake binafsi.
Hukumu yake ni vizazi vyake vya pili vitakayo ibeba
 
Chato

Chato town, population = 17,508. Chato district population = 365,000

Economic activitiy = nothing significant apart from subsistence farming which depend on rain. Contributes less than 1 percent to the GDP.
Tourist attractions = none

At the same time Songwe airport, the main airport serving the southern highlands, an area with more than 5 mil people and also being the bread basket of Tanzania doesn't have runway lights till today!

Mwanza airport yenyewe upanuzi wake has been going on at such a slow pace for the past 2 years and at times even stalled!

We are willing to spend billions on someone's vanity project ambayo will generate nothing in return and adds little value, lakini tunaache sehemu where the money would have been better spent.

A small airport would have been fine, lakini sio kujenga an airport with a runway that could almost "rival" JNIA, at a town/district with a population lower than some suburbs in Dar.

Someone needs to look at themself in the mirror and reevaluate the choices they have been making so far.

Kiswahili tu kikitumika kuwaelimisha huwa hawaelewi,sasa kwa lugha hii uliyoitumia ndo kabisaa umewapa 'EXCUSE'.
 
Ikiwezekana hata uwanja wa mpira wa kisasa pale kwa Mazaina
Ta Kamugisha hawa watu wengine wanafikiri international airports, viwanja vikubwa vya mpira, hospitali za rufaa n.k ni vya watu wa majiji tu, vikijengwa mikoani ni kuharibu fedha,
nonsense!!
 
Kilimanjaro International Airport (KIA) (IATA: JRO, ICAO: HTKJ) is an international airport in northern Tanzania that serves the cities of Arusha and Moshi. ... The airport bills itself as the "Gateway to Africa's Wildlife Heritage"je ni kweli Wildelife heritage iko mOSHI na Arusha tu?

Mbuga ziko sehemu nyingi hadi Selous .....kupanga ni kuchagua huo mwaka 1967 ulipojengwa wangeweza pia wakaamua kuujenga chato ...
kama ambavyo sasa tumechagua kumalizia wa chato kabla ya wa MWANZA
 
Mbuga ziko sehemu nyingi hadi Selous .....kupanga ni kuchagua huo mwaka 1967 ulipojengwa wangeweza pia wakaamua kuujenga chato ...
kama ambavyo sasa tumechagua kumalizia wa chato kabla ya wa MWANZA
Hivi uwanja wa Mwanza umesimama...?!
 
Ta Kamugisha hawa watu wengine wanafikiri international airports, viwanja vikubwa vya mpira, hospitali za rufaa n.k ni vya watu wa majiji tu, vikijengwa mikoani ni kuharibu fedha,
nonsense!!
Wauni hawa hacha nao, unaweza sikia hata mungu ni wao peke yao
 
Back
Top Bottom