Tetesi: Hatimaye "Chato International Airport" kuzinduliwa rasmi mwezi Aprili

Uwanja wa ndege Raman IPO kagera kikwete kaenda Mara mbili wakazuia watu kujenga kwamba mwaka 2016 unaanza maajabu unajengwa chato Nyerere watu wanamuweka ili wakarabat alikokua anaish kama angeamua kufanya hivyo Leo hii hata MALL zote zingekua msoma alafu MTU eti nasema kutoka moyon nina upendo wa dhat
 
Bajeti ya huu uwanja sijaskia ikipitishwa bungeni!! Vinatengenezwa visababu ili ionekane nistratergic lkn toka moyoni kama magu asingekuwa ni wachato huo uwanja usingejengwa abadani!!
Mabilioni hayo yangemaliza maabara zote ktk shule za sec Tz. mataa ya barabarani,mgorofa wa tra yote ni kumfurahisha mtu mmoja. Tusiwe wanafiki huyu babaJ atatupeleka siko
 

Hakika
 

Kikwete aliacha miradi mikubwa ya international airports tatu ikiendelea, ikiwemo Songwe, Msalato na Mugumu. Songwe atleast naweza wamefanya...Dodoma pamoja na kufanywa makao makuu ndio wameachana na Msalato na wanapanua uwanja uliopo sasa, huku eneo la msalato lilishatengwa na wananchi kuhamishwa...sasa linageuka kuwa pori ambalo baadae litavamiwa na kutokea yaliyotokea Kimara. Mugumu Kikwete na watu wa anga walitarget utalii wa serengeti...hapo sijui kilitokea nini (Kulikuwa na vita ya wanamazingira kupinga uwanja wa ndege na barabara ya lami ambayo ilipaswa kuunganisha Mara na Arusha) but wangefanikisha hilo la Mugumu ingekuwa vizuri sana hata kuleta changamoto kwa Jomo Kenyatta...
 
Hii sijui niite .Chato ina economical potential ipi zaidi ya wasukuma wenye baiskeli ya phonex..tatzo hii serikali kama arsenal..hawana form..wanafanya jambo moja zuri linafuatiwa mambo saba ya kipumbavu kuwahi kutokea.


Hii imeniudhi kwakwli..
 
huu uwanja hautazinduliwa utatumika kimya kimya tuu maana kelel ni nyingi
 

Standard Gauge Reli na train ya umeme ingeenda chato ningeshukuru, vile inge beba waalimu, Afisa mifugo na nyuki.na watu wa kipato cha chini na Kati, Reli inge chochea maendeleo haraka zaidi,
Chato Airport haina umuhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…