Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,059
- 1,572
Mnadhani dengu ni mchezo!!!!!!!Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM
[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
Haya ndio maajabu, Simba wakiwashangilia Morocco wakicheza na Yanga wanaambiwa sio wazalendoLol watanzania bwana sasa unafurahia au
Huyo cheka ni mfuasi wa chama gani?Sitashangaa uzi huu kuhusishwa na siasa kutoka kwa baadhi ya wachangiaji
Chama cha ngumi Tanzania ππ΅Huyo cheka ni mfuasi wa chama gani?
India hakuna jecher Kule.Chama cha ngumi Tanzania ππ΅
Huyo cheka ni mfuasi wa chama gani?