Hatimaye cheka achekeshwa chozi India

Hatimaye cheka achekeshwa chozi India

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,059
Reaction score
1,572
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM

[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
 
Sitashangaa uzi huu kuhusishwa na siasa kutoka kwa baadhi ya wachangiaji
 
Yule Bondia wetu NGUMI MKONONI na mbabe babe toka Mji Kasoro Bahari pale MORO achezeshwa akadumba pale Nchini INDIA [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]

Ni Round ya 3 baada ya kupewa ngumi zenye akili akanyoosha Mikono JUU [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]

POLE SANA Bondia wetu, kipigo ulicho pewa ni kipigo kwa JPM

[HASHTAG]#FreeMaxMello[/HASHTAG]
Mnadhani dengu ni mchezo!!!!!!!
 
Cheka mhuni sana... Hilo pambano alikua hata akipigwa anavuna Euro 8000.
Akakacha pambano.
 
Hiv kapigana na. Mdosi au maana haingii akilini mdosi anashindia chapati maharage udundwee
 
Back
Top Bottom