Hatimaye cheka achekeshwa chozi India

inahusu nini sasa kusema huo upuuzi wako hapa
 

Mabondia wengi wa Tanzania wana Tabia ya kuuza mechi hasa wakiwa nje, unakuta Bondia wa Tanzania akipigana pambano kama hilo anapewa labda dollar 10000, lakini akikubali kupigwa anapewa 15,000.00 wengi wanakubali kupigwa, nimeipata hii kutoka kwa jamaa yangu Bondia majuzi tu alikuwa ulaya na aliombwa akubali kupigwa ili asimvunjie hadhi bondia wa nyumbani na pia kuna wacheza kamali waliowekeana dau

We chunguza wote wanapigwa round ya tatu
 
inawezekana mkuu
 
Nadhani alipata na tatizo!,maana sikuona ngumi yoyote kali aliyopigwa!,mabondia wetu wapuuzi,hukubali kupigwa Ili kupandisha chati ya mabondia wa nje kwa kulipwa visenti kidogo...pumbavu.
 
2008 Beijing Olympics mdosi huyu alipata bronze medalist sishangai jamaa yetu kudundwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…