Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 729
Mkuu una tatizo Gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una tatizo Gani?
huyu Jamaa ana Shida pahalaChief Godlove ame bambwa. Kuna video ina sambaa mtandaoni iki mu expose Chief Godlove . Katika video hiyo chief anaonekana akiwa na hela ambazo ukichunguza vizuri utagundua kwamba ni note moja ya elfu kumi kwa juu ila kwa chini ni vimbao. Ukitazama vibaya unaweza kufikiri ni mabulungutu..
Maisha ya mtandaoni ni fake as hell
View attachment 2769391