aaahh!wapi Dk anakuelewa kwa nje tu na viungo Ila hawezi kuelewa hisia zako na hulka zako za kiasiliHiyo kazi ya kuwaelewa wanadamu tuwaachie madaktari.....ukishajielewa wewe mwenyewe tu inatosha.....furahia maisha.....
What I borne hatari implied "Sanaa"hatari ya pale haikumaanisha hivyo
Mkuu asikwambie mtu ndoa ni muhimu sana sasa hivi unaikataa lakn utambue sio Siku zote utakuwa na nguvu kama ulivyosasa..Mkuu mimi nimeshaamua kuishi maisha ya kiseja.....ni mazuri ajabu.......muda mwingi nautumia kusoma vitabu kujiongezea maarifa.....
Mkuu asikwambie mtu ndoa ni muhimu sana sasa hivi unaikataa lakn utambue sio Siku zote utakuwa na nguvu kama ulivyosasa..
Kuna kipindi hutakuwa na uwezo Wa kwenda pahala popote, kuna kipindi utaumwa utahitaji msaada Wa karibu, kuna kipindi umri utakutupa Mkono na wakat huo unahitaji mtu Wa kukupa faraja anakuwa hayupo ila mwanamke pekee ndio msaada kwako ..
Tunatishana tu ndoa haziko kama waliopo humu jf wanavyozichukulia
miss chagga shahidi wa haya . ww omba mungu umpate mke mwema tu
Ndio maana nmekwambia omba mungu umpate mke mwemaKuna wanawake wangapi wamewakimbia waume zao kwa sababu ya maradhi...!!!
aaahh!wapi Dk anakuelewa kwa nje tu na viungo Ila hawezi kuelewa hisia zako na hulka zako za kiasili
Ndio maana nmekwambia omba mungu umpate mke mwema
Ha ha ha ni marafiki any way.Sisi tayari ni marafiki mkuu....au sisi ni maadui...!!??
Sio kweli yupo uliyeumbiwa kwa ajili yake acha kubana riziki za watuNinavyojitambua mimi tu inatosha....kwani nipo kwa ajili yangu mimi tu sio kwa ajili ya mwingine....
Sio kweli yupo uliyeumbiwa kwa ajili yake acha kubana riziki za watu
Hahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..Zile zama za kumpata mke mwema zilishaisha....sasa hivi watu wanaoa kwa ajili ya kuwaweka karibu watu watakaowatimizia haja zao za kimwili...na sio kwa upendo.....
somewhere aroundYupo wapi...!!???
wapo tena wengi!!tuHahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..
Kila jambo ukilifanya kwa kumtanguliza mungu hakika yatakunyookea.
Amini nakwambia wanawake watiifu na wenye busara wapo tele
Hahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..
Kila jambo ukilifanya kwa kumtanguliza mungu hakika yatakunyookea.
Amini nakwambia wanawake watiifu na wenye busara wapo tele
somewhere around
humuoni maana hujaweka akili ya kumtafuts
wapo tena wengi!!tu
muambie kijana huyoo
Kwani mshikaji ndi ndi ndi?Kitisho cha kuchapiwa kinamnyemelea (sio kwa sababu ya uzuri wa my wife wake)
tayari mindset yako haiamini kwenye ndoa hilo ni tatizo sasaHizo ni hadithi za kutengeneza filamu lakini hazipo kwenye uhalisia....
tayari mindset yako haiamini kwenye ndoa hilo ni tatizo sasa
hahaaa!eti akuepushe na balaa hilo!Na kila siku namuomba Mungu aniepushie jambo hilo....kama anavyoniepusha na mabalaa mengine....AMEN.....