Hatimaye Comedian Masanja Mkandamizaji auaga ukapera

Hiyo kazi ya kuwaelewa wanadamu tuwaachie madaktari.....ukishajielewa wewe mwenyewe tu inatosha.....furahia maisha.....
aaahh!wapi Dk anakuelewa kwa nje tu na viungo Ila hawezi kuelewa hisia zako na hulka zako za kiasili
 
Mkuu mimi nimeshaamua kuishi maisha ya kiseja.....ni mazuri ajabu.......muda mwingi nautumia kusoma vitabu kujiongezea maarifa.....
Mkuu asikwambie mtu ndoa ni muhimu sana sasa hivi unaikataa lakn utambue sio Siku zote utakuwa na nguvu kama ulivyosasa..

Kuna kipindi hutakuwa na uwezo Wa kwenda pahala popote, kuna kipindi utaumwa utahitaji msaada Wa karibu, kuna kipindi umri utakutupa Mkono na wakat huo unahitaji mtu Wa kukupa faraja anakuwa hayupo ila mwanamke pekee ndio msaada kwako ..
Tunatishana tu ndoa haziko kama waliopo humu jf wanavyozichukulia
miss chagga shahidi wa haya . ww omba mungu umpate mke mwema tu
 
Kuna wanawake wangapi wamewakimbia waume zao kwa sababu ya maradhi...!!!
 
Ndio maana nmekwambia omba mungu umpate mke mwema

Zile zama za kumpata mke mwema zilishaisha....sasa hivi watu wanaoa kwa ajili ya kuwaweka karibu watu watakaowatimizia haja zao za kimwili...na sio kwa upendo.....
 
Hahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..
Kila jambo ukilifanya kwa kumtanguliza mungu hakika yatakunyookea.

Amini nakwambia wanawake watiifu na wenye busara wapo tele
 
Mpoki si mmoja ktk kundi lao???

Picha hazijamwonesha akiwepo ktk kundi lile siku hyo
 
Yupo wapi...!!???
somewhere around
humuoni maana hujaweka akili ya kumtafuts
Hahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..
Kila jambo ukilifanya kwa kumtanguliza mungu hakika yatakunyookea.

Amini nakwambia wanawake watiifu na wenye busara wapo tele
wapo tena wengi!!tu
muambie kijana huyoo
 
Hahahaaa! Sio kweli mkuu zama hizi hizi kuna wanawake wazuri na wanyenyekevu sana..
Kila jambo ukilifanya kwa kumtanguliza mungu hakika yatakunyookea.

Amini nakwambia wanawake watiifu na wenye busara wapo tele

Ninachojua ni kuwa hakuna zama zilizojaa viumbe wanafiki kama hizi.....ukiona mwanamke anakunyenyekea na kukuheshimu katika zama hizi haupaswi kufurahia mpaka jino la mwisho bali unapaswa kuongeza umakini dhidi yake.....

Hata ng'ombe analishwa vizuri ili atoe maziwa mengi.....mwisho wa ng'ombe kutoa maziwa ndio mwisho wa huduma kutoka kwa mfugaji..........

Hata punda anapendwa kutokana na uwezo wake wa kubeba mizigo......
 
Back
Top Bottom